Bachu aya ya mwanz kweny surat alfatha ni bismilah
2026-10-06 12:29:46
6
Eddy150 :
Mm napenda kumhusia kila siku awache kupenda minakasha na Waislam wenziwe: kuna matwaakhuti manaswara wanaomkufuru Mungu kila siku wanaoichukuwa sifa ya Mungu akapewa Mtu: huku fadhila zake ni kubwa sana Kama elimu hii ataielekeza huko: Na ndio lengo!
2026-10-09 04:59:49
1
Kamchape Mubambiro :
MashaAlla
2026-10-06 13:02:21
0
ar_017 :
iyo bismillah je sio aya miongon mwa aya za iyo sura ?, na mbona apo umeandikwa aya ya pili
2026-10-10 02:47:47
1
انت لي :
nnachojua ay y kwanz n bismillah
2026-10-06 19:21:21
2
LUBUA :
Uko sahihi sana Shekh bachu🔥
2026-10-06 11:44:18
0
morepower :
fact
2026-10-08 05:45:41
0
misses isihak :
shehe naomba kuuliza surat fatha Ina Aya ngapi Mana umesema Aya ya kwanza alhamdullah apo si tutaona zipo 6 na Allah katwambia zipo 7 na mtume katwambia zipo 7
2026-10-11 07:50:20
0
Othman ali :
hiyo ni aya ya pili
2026-10-09 11:30:59
0
Shaktai ceramics :
allah ameongeze yy nasisi pia
2026-10-06 18:01:25
0
Rashid Habibu :
kwani bachu dini haijakamilika? tupe tu HADITHI au Aya hivyo vigawanyo mbona sifa ziko nyingi tuza m,mungu
2026-10-06 10:31:24
0
maxb :
sw tumeelewa
2026-10-10 04:43:31
0
MAALIM HAJI :
safi
2026-10-06 07:49:08
0
demani :
kusema ukweli bachuu anachukia molidi anatka watu wamfwate vnye anatka ukweli kila Mtu na amali yake
2026-10-07 21:01:37
0
Dude :
sijawahi kukupinga mwalim upo sahihi kabisa Allah atuhifadhi
2026-10-07 12:24:29
0
SADIKI DIHOMBA :
bachu anabishanaa adi na ukweli apo imeandikwaa namba mbili yy anasemaa mojaaa
2026-10-06 14:54:54
0
Omar Athman :
Hi quran imeshushwa Leo mtume s, a, w hakuyaona haya ama hao salafi?
2026-10-06 12:32:36
1
Saad Ali :
suratul fat-ha aya ya kwanza Bismillah wacha ujuaji
2026-10-06 11:01:25
2
Mussa Makame :
jamani kwan awa Sufi ni kudi la Aina gani
2026-10-06 11:39:10
0
M :
Kila Muislamu Hawezi kua muislamu kama Hajaamini hayo ila halizimishwi kwamba vigawanyo vingapi vya tauhidi Ibatosha .....
2026-10-06 10:28:18
0
nurudinikishk :
Uongoo ndiooo
2026-10-06 12:51:13
0
Muhajiri haji🫡 :
wewe hatausemeje kugawa tauhid 3 iyoni nidaa
2026-10-06 17:38:23
0
suleiman :
Al Akhiy umejitahid sana kufafanua maa shaa ALLAH lkn hata mtume alipngwa hata hilipia watatokea wajinga watapinga tu
2026-10-06 14:39:30
1
To see more videos from user @uislamu_tz, please go to the Tikwm
homepage.