@music_words255: Part 115 | 🎙️DHARAU 💔 "Yeah Me nilidhumu nafsi kuji kirihisha Nikiamini me mtu wa mtu Kumbe bora ninge chuku chuku Aaah kidogo Ninge fanya utukutu Moyo ndio ulikupa nafasi Chakusikitisha minacho ambulia ni maumivu tupu Bora ninge chuku chuku Aaah kidogo Ama ningewapa wakifanye supu Kwako nilikuwa nyendo sina Nikijua you are my destiny Sina wa kumtuzia heshima Kama hata wewe nitashindwa thamini Ni kweli utakwenda mazima Japo itakutwa ngumu kwamani Nitamisi michezo ya mama amina #fyp #viral #music🎧 #lyrics_songs #💔