@kinyungumicheke: Rais William Ruto, kama tu mimi, katika serikali ya Rais Uhuru Kenyatta alikuwa kwenye National security Council, kwa sababu alikuwa Naibu wa Rais. Kwa sasa anazunguka akisema tuliua watu river yala, kama watu waliuawa basi tuliua watu na yeye kwa sababu tulikuwa Security council na yeye. #kenyan #fyp #trending #kenyantiktok #linkinbio

Kînyûngû Mîcheke
Kînyûngû Mîcheke
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 06 October 2026 07:43:58 GMT
22085
857
68
25

Music

Download

Comments

vincentkiptoo45
leutenant kemboi :
You will tell us more... Mbona ukusema hiyo time
2026-10-06 11:35:44
1
benjaminkibet08
benjaminkibet08 :
u sidelined dp president at time
2026-10-06 13:16:25
1
admin_guru
@Guru :
This man is clever
2026-10-06 11:31:50
0
laheffe
laheffe :
why mislead kenyans, are you saying everythin done by minister interior does is approved by national security council? watu sio wajinga.
2026-10-06 11:31:54
1
ezekiel.lelei4
Ezekiel Lelei :
Well said, The DP. is equally in blame,! You wer the DP. that time, Now tell us.,!
2026-10-06 10:30:19
1
richardondabu78gmail.com
Ritchie :
Remember what we call, chain of command!
2026-10-06 11:47:37
1
alfredwanga
the builder :
wewe ulikuwa waziri wa usalama
2026-10-06 12:46:16
1
josphat.okioma
Mr sonadal :
at that time who was the deputy president
2026-10-06 12:34:26
2
vincentmasheti6
Double M Vinny :
na mbona mnasema Ruto aliua watu
2026-10-06 10:09:58
3
mohammedaminmedia41
THE EQUITABLE PARTY 🇰🇪 :
mimi ndio sifuna
2026-10-06 12:08:48
2
japhez
Japheth :
kware pia kulikuwa na miili kadhaa
2026-10-06 12:40:55
3
emil.kemboi
Emil kemboi :
wewe mlikua na uhuru tell the truth bwana
2026-10-06 13:04:54
1
martinbiwott8
Martin biwott :
na kwa nn ulitoa Gsu wale walikua wanamulinda
2026-10-06 12:26:14
1
markngetich34
markngetich34 :
2026-10-06 10:46:28
2
swamad98
@swamad :
ww matiangi ndio ulikua mbaya sana wakati wa uhuru kenyatta hatukutaki uwe Rais wetu
2026-10-06 11:41:02
1
mohamednooribrahi6
mohamednoor ibrahim abdi :
kumbe ilifanyika kimakosa
2026-10-06 10:41:28
1
fadsich.plumbing
FAdsich plumbing services. :
na sahii mbona mnamlaum c mulaum kindiki
2026-10-06 11:41:44
1
albertkigen
Albert :
Ni nani na ulikuwa cs interior wakati wako
2026-10-06 11:25:21
1
jiesiu3
Jiesiu@15 :
jibu swali Wacha kuzunguka si wewe ulisema Ruto ajibu swali ni nani huyo
2026-10-06 09:53:09
0
markngetich34
markngetich34 :
2026-10-06 10:46:17
1
ivansoh.arengoh
Ivansoh Arengoh :
jenzi wakikufu nani alikuwa dp then
2026-10-06 10:27:56
1
user1176176814349
Oh Me :
so you blame ruto when he was DP but can't blame gachagua when killings occurred when he was DP??
2026-10-06 13:05:56
1
jmax.com1
josee 🧢💤💚 :
mbona ukaitisha barua ya chief
2026-10-06 13:23:16
0
peter_g_mwata
Peter G Mwata :
Deputy president(ruto) knows well,if not then killings and abduction wouldn't continue upto date
2026-10-06 13:22:13
0
user915669802965
user915669802965 :
ulikua deputy president wakati uo
2026-10-06 13:08:47
0
To see more videos from user @kinyungumicheke, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About