Oa mwanetu unvyo ibrand Mbeya na Song we Kama Mambele Naqubar[Big LOL]✌🏾✌🏾
2026-10-06 12:02:12
7
HUNCHO :
haha igambaa
2026-10-06 10:05:39
5
Raphex melody :
Sitokuja kusahau me kiota cha ndege nilisema kichali nilikula banzi😁
2026-10-06 08:32:44
30
Husnar George :
respect 👍 brother
2026-10-10 05:51:35
0
Benedict Benard :
bro I like your vibe kindly YouTube unajiita aje
2026-10-09 08:20:16
0
📌 NickyLiz 💫🔥👑 :
sema kaka nitakutengenezea dunia yako ya full mastory maana dah tunagusa hisia na maisha ya wengi sanaa bro respect sanaaa🫡🫡🫡
2026-10-06 10:58:32
33
Chris Joseph :
mhmhmhm ok
2026-10-09 13:24:21
0
LizzyTaetae💜 :
last born nina kazi mwenzio aah 😂😂😂
2026-10-09 20:34:53
0
mfk :
sometimes walimu wanazingua sana
2026-10-06 09:55:47
6
lodimariam :
Kwan inakuwaje mpk gari linachafuka Ivo
2026-10-09 15:55:49
3
Jigah🖖 :
Me form one hiyo kuna ticha alikua mweupe bahat mbaya nkampamia alinambia mi mweusi kam mkaaa alooh nilimind sana ck afu mbele ya mademu tokea ck hiyo ckuwah tehna kwenda shule mazeee😥😥
2026-10-07 13:56:15
6
Chadully brand🥷 :
Daaah maisha ya kwel kabis brouh💪
2026-10-06 10:14:35
5
B.I.G :
dude your everywhere 😁😁😁😁
2026-10-06 08:42:03
1
mwakipiko7 :
kumbe familia
2026-10-06 11:59:24
3
mwack donzuu :
nikweli kabisa kaka
2026-10-06 12:08:27
1
🍁™last™born®💥 :
tulokuwa bize na kuangalia Magari yanavo safishwa mko wapiii
2026-10-08 07:54:13
6
evode by :
hivi unatowa wapi huz storya
2026-10-06 12:13:36
1
PHILIPO NASHON :
nakukubali sana
2026-10-07 07:58:58
3
akily 17 :
mwanangu acha nikufolo unajuwa kwa story Aaa🙌🙌
2026-10-07 09:16:50
2
Lionel mess fancy :
Kwa mara ya kwanza naangalia video bila kusom comment 🤣
2026-10-06 09:55:01
2
💥🍀🍿Summervile ☘️💦🥷🏿 :
daaaah kweli mwanangu
2026-10-06 12:14:37
2
Rosella 💜 :
Umesema kitaitwaje🥺 niandikie🤔
2026-10-06 10:10:25
4
🖤💣 :
broooh iyo ina toa kwenye Mstari sanaaa
2026-10-07 08:40:49
1
BHIZZO~PAPY💙 :
kaka ya jana hujamalizia
2026-10-06 18:24:10
2
To see more videos from user @mwangomile_, please go to the Tikwm
homepage.