@mcsaragata: Bila kumuona sipati usingizi..Ni zamu ya happness kutambulishwa sasa twende naye... . . 🎤Mc Saragata.. 📞Hotline 0767-544426 📷@Digitalzoom 🍾 Sherehe bila stress 🤝 MUNGU akubariki sana 🙏 MUNGU Kwanza Team Kazi na Sala.. #kenyantiktok🇰🇪 #tanzanitiktok🇹🇿kenyatikto🇰🇪 #all #fpyシ #mc
MCSARAGATA
Region: TZ
Tuesday 06 October 2026 08:15:57 GMT
Music
Download
Comments
ProudlyKanseisa :
couple of the year
2026-10-06 13:39:53
0
Nuu🦋 :
Ila Wazee waongo hawa[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-06 12:57:40
0
💚 :
usingz huu huu
2026-10-06 17:31:35
0
sarah💘 :
weee nachausingizi tena😁😁😁😁
2026-10-06 12:08:33
0
Jennie 🦋 :
bila kumuona hapati usingizi nayy akinywa maji anamuon kwenye galasi 😁😁😁kumbe wanafanana
2026-10-06 14:29:15
19
Bihawah🍎 :
sipati usingz,namuona kwenye galasi😅🙌🙌
2026-10-06 11:16:09
10
Nacha Outfit :
Wote wana mbingu yao
2026-10-06 16:22:54
7
caren :
kwa uu upendo kwanini usionekane kwenye galasi😂😂
2026-10-06 08:54:39
26
user4265312935694 :
mr and mrs galasi
2026-10-06 12:09:20
3
Intropact 🤫🤔🫡 :
Ndoto ya kila mwanamke
2026-10-06 08:51:10
8
Anna kimaro :
Mc bibi harusi na bwana harusi kabila ganii
2026-10-06 15:32:37
2
Monica Suzi :
Mimi Kwa upendo huu kwenye galasi haitoshi mm mpk naweka maji kwenye jagi namuona mpk kwenye mfuniko wa jagi nitamuona tu
2026-10-06 09:57:57
5
Salha :
A few moment leiter
2026-10-07 04:49:40
2
Glory Julius :
hata ewe saa Saba usiku😂😂😂😂
2026-10-06 15:55:54
2
Asnat kombania :
hataewe saa saba za usiku nitapiga cm mapenzi shkamooo
2026-10-06 15:26:40
1
Alinda@j :
Ila waha😂
2026-10-06 19:29:34
0
Mommy B :
naomba kurudishwa hapa jamani nisikilize saivi nipo kwenye kelele
2026-10-06 11:03:08
4
smile gal🌹🥰 :
ahahhahaha ila hiii ndoa
2026-10-06 09:09:43
3
akyoohope :
utambulisho kutoka rohoni chezea mpka kuzaa watoto watano,anamwona kwenye galasi[Tears of joy] ila kweli Mungu atakupa wakufanana nae
2026-10-06 21:23:06
1
~lesty✝️🙏🍂 :
muendelezo tunaomba 🤣🤣🤣
2026-10-06 09:09:48
3
mama 🎁 💝 :
kwakweli mungu anakupa wakufanana nae bila kumuona sipati usingiz..na yeye nikimywa maji namuona kwenye garasi😂😂🙌
2026-10-06 17:15:06
1
Princess T😅 :
mc tunaomba part 5 😂😂
2026-10-06 08:22:53
2
debby king :
kwan galas inauzwa wapi😳nina jambo langu soon
2026-10-06 09:16:32
2
j mwagobe :
jamn hii ndoa inambwembwe mm ni kicheko tu jamn
2026-10-06 08:55:08
2
Eliza Jm :
yaan jaman kumbe bado kuna watu huwa hawapati usingizi 😂😂😂😂😂
2026-10-06 13:12:48
0
To see more videos from user @mcsaragata, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.