@bukheit.altamimiy: old is gold zanzibar maisha yanakimbia nasisitutakuwa sehemu yahistoria 1905--2026 visit zanzibar Mdharau huba pendo haliwezi ❤️❤️

Bukheit Altamimiy
Bukheit Altamimiy
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 06 October 2026 08:23:53 GMT
34460
950
22
63

Music

Download

Comments

yeye_eh
yeye_eh :
Maajabu ya mbuyu wa mkunazini. Ulikuwa unatoa maji fresh, wakaazi wakaunganisha mfereji kuuchomeka kwenye mbuyu na wakawa wanachota maji
2026-10-06 22:21:21
1
million.mara
million Mara :
Shaka mimi sina kwakooo hakika nakuamiiiniii hayaaaaaaaa kulikosa pendoo laaakooo uhai mimi wa niniiiiii🎶🎶🎶
2026-10-06 22:46:57
1
nurayda55
Nurayda Ahmed. w.. :
vya kale ni dhahabu 🥰🥰🥰 ......hakika aaaaa.....
2026-10-09 23:03:19
0
jumahajiabdalla
Jemes bond :
kaka hongera sana naiamini kazi yako
2026-10-07 08:35:31
0
khdz76
Mtaalam milele! :
kwa pembeni yake apo pana mkahawa kipindi nasoma Hailesallasie skuli tunaenda kula everyday!!🤣🤣
2026-10-08 05:09:07
0
abullet_maparah
Abullet_Mapara :
allah afanye historia yetu iwe yenye kusomwa vzr amin
2026-10-07 22:21:50
0
user4921824334653
userRAJUU :
Nahisi kipindi hicho kulikua na ukimya sana
2026-10-08 05:00:57
0
y__z__z
Y....Z....Z :
hapo 2019 umerudanganya
2026-10-06 12:38:04
0
smiley_____12
Smiley :
2019? Uko sawa wewe? Lukman wenyewe wamejenga hapo 2011.. hii picha ya mwanzo kwenye Milango ya 2002/2003
2026-10-06 14:00:48
0
user1652146382113
Ahmed Ali :
🥰🥰🥰
2026-10-06 09:12:14
1
ally81499
Allybinsaid :
❤️❤️❤️
2026-10-07 11:26:35
0
mwanzaaquariumpoint
mwanza aquarium point :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-06 13:42:40
0
hamadi.salum5
hamadisalum6 :
❤️❤️❤️
2026-10-06 12:14:27
0
hamoudbadruhamoud
Hamoud Badru Hamoud :
🥰🥰🥰
2026-10-06 18:39:54
0
bukheit.altamimiy
Bukheit Altamimiy :
[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-06 09:20:31
0
abbas.sharif87
Abbas sharif. :
🥰🥰🥰
2026-10-07 17:23:53
0
To see more videos from user @bukheit.altamimiy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About