Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@fikaaaaaaa____: Kecil je saiznya, tapi boleh buat hati rasa lebih tenang 📍🤍 #tracker #amgras
Fika ⋆𐙚 ̊
Open In TikTok:
Region: MY
Tuesday 06 October 2026 08:33:04 GMT
659
3
0
1
Music
Download
No Watermark .mp4 (
1.09MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
0.83MB
)
Watermark .mp4 (
1.18MB
)
Music .mp3
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @fikaaaaaaa____, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
Niatnya cuma bongkar kasus penculikan anak, tapi pas udah nyelidikin malah harus ngelawan penculik sakit j*wa! #KisahMemburuPemangsa #MemburuPemangsa #FilmMemburuPemangsa
Wanted me to sell my soul for some gold and I gave it to God for free.
Hilarioni alizaliwa Tabara katika nchi ya Israeli. Wazazi wake walikuwa wapagani, wakampeleka shuleni mjini Aleksandria (Misri). Mwalimu wake alimfundisha dini ya Kikristo, akabatizwa alipokuwa na umri wa miaka kumi na mitatu. Zamani zile, sifa ya Mt. Antoni ilienea katika Misri yote, na Hilarioni aliposikia sifa zake hizo alikwenda kumtazama. Alipomwona baba huyu Mtakatifu, alifahamu kwamba vyeo vya dunia ni upuuzi mtupu, bali kumtumikia Mungu ndiko kunakofaa. Hapo aliwaza rohoni mwake: "Nami nitakuwa mkaa pweke". Punde kidogo akavaa mavazi ya kimonaki, akaishi miaka miwili pamoja na Mtakatifu Antoni ili ayapate mafundisho yake. Hatimaye, alirudi kwake na kuwagawia maskini mali zake zote, akaenda kukaa uwandani Israel. Huko Jangwani alikuwa na nguo chache tu, wala hakuweza kujikinga na jua na baridi. Posho yake ya kila siku ilikuwa tini kumi na tano ambazo alizila saa ya machweo ya jua. Lakini kwa kuwa kiasi hiki cha chakula hakikumtosha, kwa hivi akadhoofika sana, akaongeza majani mchache ya mboga. Pengine, sala ilikuwa kavu na ngumu. Alijisikia kama kwamba aliachwa na Mungu, lakini hali hii ilimfanya aendelee kusali zaidi. Yasemekana kwamba alifanya miujiza mingi. Mafuta aliyoyabariki, yaliwaponya watu waliokuwa wameumwa na nyoka na wadudu, na kwa sala zake mvua ilianza kunyesha tena baada ya ukame wa miaka mitatu. Safari nyingine, mwanamke tasa alipata mimba akazaa kufuatana na sala zake Mt. Hilarioni. Siku nyingine, baada ya tetemeko la nchi, sala zake ziliuokoa mji na mafuriko ya maji. Kokote alikoenda watu walimfuata kinyume cha mapenzi yake, kwa sababu hakutaka kujulikana sana; hakutaka kuangaliwa kama Mtakatifu. Japo alikaa nchini Palestina (siku hizi nchi hiyo huitwa Israeli) kwa muda wa miaka mingi, alienda Yerusalemu safari moja tu, kwa sababu alitaka watu waelewe kwamba Mungu yuko kila mahali, wala haabiwi katika mji mmoja tu. Na hilo ndilo fundisho kuu alituachia Mt. Hilarioni, maana yake ni kwamba hatuna budi kusali na kumsifu Mungu mahali popote, na hasa mioyoni mwetu. Alipokuwa karibu ya kufa, Hilarioni alianza kutetemeka, kisha akatulia akisema: "Ee roho yangu, umemtumikia Mungu muda wa miaka sabini, kwa nini unaogopa sasa?" Basi, akafariki dunia mwaka 371, akiwa na umri wa miaka themanini. Alijulikana kwa Mt. Epifanio ambaye alimstaajabia sana na kumwelezea Mt. Jeronimo yale yote aliyoyajua kuhusu maisha yake na utakatifu wake. Jeronimo aliyaandika yote aliyoambiwa naye, na maandishi hayo yametufikia sisi. Hivyo, habari zake zajulikana siku hizi. *MT. HILARIONI, UTUOMBEE* *MASOMO YA MISA* I. Efe 3:2-12 Wimb. Ktkt: Isa 12:2-6 INJILI. Lk. 12:39-48
#RoVเป็นเกมตลก #RoV #RoVThailand #ปีกแห่งรัตติกาลกางออกแล้ว
এম ভি গ্রীন লাইন লঞ্চ বলেনতো কোন লঞ্চ ফেন্ডার পানি উঠে দিয়েছে
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy