Understanding nothing but tuelezee ya grade 6 mamuu
2026-10-28 14:18:57
0
user6222525046691 :
c maths wengi watakua approaching
2026-10-27 11:21:35
0
🌹 :
Am I the only one tired of this system?
2026-10-06 14:21:16
248
Bobchaste :
ME1 very unfair....58 na 74 ....
2026-10-07 06:44:13
58
luhya heartbeat🥰🇰🇪🇸🇦 :
mm sielewi chochote aki😂
2026-10-26 08:11:22
7
purity :
sielewi kitu mm
2026-10-29 07:21:33
0
MAMA COUNTY :
hizi vitu mimi sielewi nachoka wallah
2026-10-06 11:35:28
30
Emily Kagwainey :
thank you teacher, let me save this video because I have a candidate
2026-10-06 09:06:49
10
@Ana254 :
i want to transfer my daughter to another school coming next year wen join grade 6 can I do that kind advice
2026-10-06 11:50:36
5
Have Faith in God :
Bora tu mtoto wangu aitwe shule mzuri,mimi hizo za points sitawai elewa hata nimeze Bruffen box yooote,hiyo iko na wenyewe tu
2026-10-06 17:03:54
18
Bmarlon Evans :
ndoto za 844 is back but in a different form.
2026-10-06 10:20:20
6
aimee :
Imagine tumechoka! Waambie KNEC wafanye vile wanataka! Kwani kila mwaka kuna new rules? Its giving confused, its giving incompetence, its giving hawajui wanafanya nini! KNEC wanachezea watoto na wazazi akili!
2026-10-06 15:27:36
3
irungumilkah :
tuelezee za senior school pia
2026-10-06 14:17:07
1
Smart Deals KE🇰🇪 :
social science points ngapi?
2026-10-06 11:44:07
0
Felix Kangor :
learning area will be graded differently depending on performance
2026-10-06 13:04:37
2
Seline Obara :
hapa sielewi kitu
2026-10-06 15:07:32
2
nancyabura1 :
sijui ni kwanini anytime I try to concentrate for me to understand ,I end up kichwa inauma ,
2026-10-07 15:22:29
2
Queen 💕 :
Ticha unasema Nini aki kindly elaborate it in a simple terms
2026-10-06 13:31:12
1
Len :
this is too high
2026-10-07 04:16:29
2
none :
I my slow learner juu hakuna kitu huwa naelewa kwa cbc
2026-10-12 17:01:50
1
☆𝓯𝓪𝓻𝓱𝔂𝔂☆ :
wanatuchanganyaaa banaaaa😭😭
2026-10-15 18:52:18
1
To see more videos from user @teacherwacbc, please go to the Tikwm
homepage.