Haven smart car wash :
“VALUE YOURSELF” Badilisha tabia utafanikiwa, njia ya mafanikio sio uchawi njia mama ya mafanikio yako ni Ibada tu pekee hakuna mtu yoyote atakayekuonesha njia yako ya mafanikio, Badilisha Tabia Haujarogwa hiyo tabia yako Mama chafu ambayo ata wewe mwenyewe hauipendi ninakuganda kama ngozi ndio sababu kuu inayofunga mafanikio yako, hauwezi kufanya ibada hali ya kuwa wewe ni Mwanga utofanikiwa abadan, hauwezi kufanya ibada we ni mzinifu hauwezi kufikia Level kubwa za Mafanikio yako.mwizi, muongo, dhuluma,kunyanyasa watu, kula Riba, kufanya Riya(Kujionesha kuwa we ndiye Mwenye Mafanikio kuliko wengine na kuanza kuwadharau watu, Achana na. Tabia Mbaya ya kujichua, Achana na Tabia ya kuangalia Sex Movie na wadada wanaojionesha Utupu wao huku mitandaoni unaweza kuzifunga post zao zisiweze kukufikia ata kidogo njoo nikuelekeze. Kaka/ Dada yangu badilisha Tabia utafanikiwa, Swala na Quran ya Allah zinafanyakazi tena vizur sana ila tu kama utaanza na kubadilisha kwanza vile Tabia zako zote chafu, wallah nakuambia utafanikiwa. Binaadamu sisi sote ni matajir Allah akumuumba mwanaadamu masikini. Tabia yako ndyo umasikini wako na uchawi wako Mwenyewe. Badilisha Tabia. Niko hapa utakuja kusimulia.
2026-10-27 12:40:14