nimeanza na Mimi Leo nimefungua japo ndio safali naanza ila nimeanza biashara ya mchele na mafuta kiufup na mazao nitafiak tu pale mungu ananipa kibali nashindaga kwa post zako najifunza sana ubalikiwe dada mzul
2026-10-07 11:28:09
1
Flora Kessy :
unaweza kunitumia maharage ya soya nipo Geita
2026-10-07 12:01:35
0
Juma Idebe :
ni kweli naomba elim zaid kuhusu nafaka
2026-10-07 14:00:09
0
Tea :
naomba unifundishe hiyo biashara
2026-10-08 15:50:55
0
Hollo Fashion point :
upo wapi nije kujifunza
2026-10-06 16:53:05
0
mungumwema :
amin kaka
2026-10-07 10:55:27
0
Hollo Fashion point :
🥰🥰🥰
2026-10-06 16:52:24
0
To see more videos from user @lalagrain_co, please go to the Tikwm
homepage.