Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@shavel8218backupaccount: #CapCut #Meme #MemeCut
kenya1
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 06 October 2026 09:10:51 GMT
232441
15808
538
2186
Music
Download
No Watermark .mp4 (
0.8MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
0.74MB
)
Watermark .mp4 (
2.03MB
)
Music .mp3
Comments
:
Mimi hakuna kijana amewai niambie ongea na mum😂😂😂😂
2026-10-06 19:10:33
67
:
hadi nikaenda akanitembeza kwa shamba yoote,na kwenye nitazikwa lakn wap😅😅😅😅
2026-10-07 10:57:09
49
:
heri ww mm nlienda adi tukaenda church wote lkn sai nko single and searching 😂😂
2026-10-07 05:36:20
12
:
Heri wewe mimi nilienda mpaka kwa huyo mother-inlaw na tukaachana🤣
2026-10-06 14:30:29
85
:
mii nahesabu makuku nimekula kwa mother in laws😂😭 wooi mungu
2026-10-07 12:50:28
10
:
Nilipromise mwigine sukari since 2019 na bado anaigojea na tuliachana na kijana yake😂
2026-10-07 18:04:20
14
:
heri wewe mm hata hakuna mwenye nimeongelesha kutoka hii mwaka ianze😥
2026-10-06 13:53:06
20
:
Heri wewe uliongea n yeye Mimi nlienda uko Hadi tukafua n nkaosha vyombo n tuliachana😁😁n Tena hii Dec napelekwa Kwa mwengine😁
2026-10-06 16:03:46
6
:
uzuri December Iko na 31 days 🤣🤣
2026-10-13 05:09:52
0
:
na mimi mwenye Niko Kwa chama na wawili surely nikae wapi[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-07 06:39:01
2
:
😁😁😁alfu kuna Mimi hakuna hta moja
2026-10-07 06:43:06
4
:
heri ww mm nilipekmkekwa adi kwao western 🤣🤣🤣 guess Nani ata hawaongeleshani
2026-10-06 15:57:13
2
:
so hapa n mm pekee sijai ongea n mother in law
2026-10-11 20:59:29
0
:
Have dated a guy 3yrs hajawahisema ongea na mum hata nlimuuliza kuenda kwa ye husema ipo siku tutaenda usijali...nmechoka nkagive up😥🤦🏻
2026-10-08 08:55:57
0
:
mimi niliongelesha mwingine ady ajanipenda, God forbid🙏🙏
2026-10-06 14:10:41
8
:
He just fund me cheated yesterday so is very ricky to post on my status 😳😳
2026-10-07 19:37:23
1
:
Wacha izo.mie kwa mother in-law nishaenda na nikakula fare ya father in-law bado napigiwa simu na ma sister in-law 🤣🤣🤣🤣
2026-10-07 09:43:59
8
:
Mimi nilienda kujiintroduce kwao lakini wapi😂😂😂 mapenzi kweli ni scum
2026-10-21 19:50:51
0
:
😂😂😂😂Gulf manenos
2026-10-06 20:44:05
1
:
na Mimi mwenye nmeenda tukakaa nao one week ilienda 2 weeks wakidhani niko na plan ya kuolewa makwao😂😂😂😂😂
2026-10-07 12:58:40
0
:
Niliongea n mmoja kwa simu,nikakuja kuacha n kijana wake hata ka hatujawahi onana,tuliachsnia tu kwa simu🤣
2026-10-07 09:22:38
1
:
Let me shut up 😂😂😂😂
2026-10-06 20:17:17
0
:
the way am praying for my usa visa ,,, nyinyi endeni tu kwa mother in laws l wish all of you the best
2026-10-12 15:23:51
0
:
kwani huwa mnapewa muongee na wao eeeiy😭😂😂😂
2026-10-07 15:49:27
0
:
too risky to repost 😂
2026-10-07 06:38:47
0
To see more videos from user @shavel8218backupaccount, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
😳👇
#fürdich #viral #foryou #quotes #viral_video #foryoupageofficiall #fyp #islamicvideo #muslimtiktok #subhanallah #islam #viralvideos #viralvideos #alhamdulillah #foryoupage
giving dfyne a run for their money fr
Em 2022, o Lula disse: "Ah, mas se eu falar isso vai cair a bolsa, vai aumentar o dólar. Paciência!" (COP27, 17/11/2022) Hoje, no primeiro pregão depois da reeleição (26/10), o mercado mandou a conta: • Dólar: abriu em alta de 8,65% (R$ 5,425) e chegou a R$ 5,52 às 9h36 (+10,69%). Na sexta, tinha fechado em R$ 4,99. • Ibovespa futuro: chegou a cair 19,70% às 9h40. A B3 ampliou o limite de queda duas vezes antes das 9h15. • Às 10h07, a B3 suspendeu a negociação no mercado à vista por 30 minutos (circuit breaker). • Às 10h03, o Tesouro cancelou os leilões de títulos prefixados e atrelados à inflação desta semana. • Juros futuros (DI jan/2035): de 12,66% para 14,59% em uma manhã. Dólar alto chega no remédio (cerca de 95% dos insumos farmacêuticos são importados, segundo a Abiquifi), no pão, no celular e na viagem. Opinião nossa, com número e fonte. #lula #dolar #bolsa #ibovespa #economia
Dùng TPBANK mà chưa biết những ưu đãi này thì hơi phí đó nha😚 #TinhHaSayHi #ThuThachTPBank #TichDiemLoyalty #MastercardFest #TheFlash2in1
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy