@professor_kayambe: 📖 Vision huleta alignment. Husaidia familia kufanya maamuzi yenye mwelekeo, kuweka viwango vya uwajibikaji na kuwafundisha watoto kile ambacho familia inasimamia. Baba, kwa hiyo, si mtoa mahitaji tu; ana jukumu pia la kusaidia kufafanua na kuwasilisha mwelekeo wa familia, ili kila mwanafamilia aelewe nafasi yake katika kile wanachojenga pamoja na katika kusudi la Mungu. Jiulize leo: Familia yangu tunajenga nini, tunaelekea wapi, na je, kila mmoja anaifahamu vision hiyo?

MAISHA NI MAARIFA 🇹🇿
MAISHA NI MAARIFA 🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 06 October 2026 09:13:35 GMT
69
8
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @professor_kayambe, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About