@maguisratv: Mhe. John Heche Akizungumza Na Wananchi Wa Nyamongo Kwenye Mkutano Wa Hadhara Uliofanyika Siku Ya Jana Oct 05 2026 #maguisratv #johnheche #chadematz
Lisu ni Yesu wa sasa ktk kizazi hiki kwani Yesu alijitolea sadaka ili wenye dhambi wapone.
2026-10-06 17:59:01
12
+255🇹🇿🇰🇪🇺🇬 :
Mie naamini ipo siku ccm itakua chama pinzani tu
2026-10-06 14:47:12
8
know :
October 29 tunatoka
2026-10-06 11:42:23
6
user4190484626615 :
hakuna kama chadema. chama kinachopendwa na watanganyika asili
2026-10-06 10:14:55
12
LAST BORN :
John heche oyeeeee
2026-10-06 13:54:08
6
Samweli katawa :
Ccm inatutesa watanzania
2026-10-06 18:16:54
3
Kelvin Eliudi :
daaaaaaaah mwenyekiti Mungu akupiganiee tu
2026-10-06 14:26:20
2
Rashid mwanzalima :
nilazima tutokezee
2026-10-06 19:29:26
2
niko ambae niko :
good
2026-10-06 17:51:22
2
RUHEGANGU :
naipenda chadema kiukwe, kwani nihajitupu.
2026-10-06 17:27:11
2
izere wittypaccy :
free lissu
2026-10-06 13:07:04
2
Charles Arajiga :
aiseee
2026-10-06 15:33:08
2
gerette platnumz :
kweli
2026-10-06 11:16:18
3
Alphonce Michael :
hii ndo nchii
2026-10-06 20:30:24
1
lekoyaisiria amayana :
atakuwa rais lisu
2026-10-06 11:54:39
3
user37966917661340 :
kabisa aise
2026-10-06 17:11:41
2
military🌎🇺🇸 🇹🇿 :
Tundu Lissu ni hazina ya Africa 🌍 Tundu Lissu ❤️
2026-10-07 14:09:15
1
mwakalinga :
Heche tutatokaje hapa kwenye tamuri la moto? ccm haipo wapo watu nyuma yao nini kifanyike?
2026-10-07 05:32:07
1
Boaz Dawa :
ccm wanajua kabisa hawana wapiga kura na ndo maana wanatumia jeshi wanatiki kura ili wajitangaze kiarisia hakuna kiongoz alie shinda uchaguzi iyo iko wax
2026-10-06 11:15:59
6
~..yk._blesa..~ :
Mungu ni mwenye HAKI Alluta Continua. Freedom is Coming Tomorrow
2026-10-06 13:21:14
2
Julai :
Nyamongo imeitika
2026-10-09 12:53:42
0
seve :
wote wanajua
2026-10-08 22:00:19
0
JOHANDU JOSHUA :
tuendelee kupambana
2026-10-08 08:49:17
0
Dude khamisi Dude :
Aliye toa Amri ya kupigwa risasi Naye kapewa sumu kafa duuuuh Hiiduniyaa
2026-10-09 06:42:41
0
marwa monanka :
uhakika 😏
2026-10-06 11:49:04
0
To see more videos from user @maguisratv, please go to the Tikwm
homepage.