@devotajs: Chosen one/ Mteule ana Alama ktk mwili wake @kayiwa:tusayidiye arama emu uganda tunawapenda #chosenone #fyppppppppppppppppppppppp

Devota JS
Devota JS
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 06 October 2026 09:44:52 GMT
13973
843
91
36

Music

Download

Comments

hamphreyomary
The LION OF JUDAH 🦁 :
amen be blessed
2026-10-06 17:02:59
1
sifa399946
sifa399946 :
saw dad
2026-10-06 09:56:25
1
mtuimichael
Brayson michael son of israel :
katika siku umenifariji ni leo yani umeniongea mimi kila mahali nina mwomba Mungu afanye wepesi
2026-10-07 04:29:04
2
malikia.mubarikiw
Malikia Mubarikiwa :
Huyu ni mimi nina alama ya M na pia X imepita katikati yenye umesema yote ni ukweli kunihusu mimi.Hmmmm hadi huwa anaitwa majina ya utani 😂😂
2026-10-07 07:24:05
1
da_king_of_jungle0
58DAWG :
mimi nikona alama ya pembetatu kwenye utosi
2026-10-06 20:01:14
1
kingdaru88
Zanzibar 🇹🇿 :
mm sijui alama ipi inakujlisha kama ww ni mteulee
2026-10-06 11:00:48
1
keula83
Keula :
nimelala nimeota namba2016 halafu nimeokota chenji za hela nyingi inamanisha nini kiroho
2026-10-06 11:06:04
1
veeee.fashooony
Veeee fashooony :
Ila mungu atutunzie wewe atuna cha kusema mungu akutunzee dada
2026-10-06 12:30:34
2
gcollecting
G MBARIKIWA -COLLECTION :
yaani yaani ..Mungu atusaidie
2026-10-06 13:15:57
1
jumamapunda939
juma mapunda :
Yan mm nikiamka mvuw Ina nyesha nainanyesha kwel hatakama cyo miez ya mvuwa mpaka naogopa Yan Leo ndiyo umenigusa kabisaa nna alama m nikishika magonjwa na mkono anapona sana sana watoto
2026-10-06 10:40:28
1
gladness.undole4
Gladness Undole :
mimi ninaalama ya nusu mwezi, x na m
2026-10-06 15:10:18
2
winifridavincent6
winifridavincent6 :
mimi huyo alam m ninayo jamn yote ni kweli jamn
2026-10-06 19:15:46
1
justine.peter73
Balamus Bahamon♑ :
Chanzo kilianzia pale ambayo nilimuonyesha alama ambayo hata angeitafuta Kwa miaka yake yote kuwa kipindi ambacho angekuwa na Mimi ila baada ya kumuonyesha tu kila kitu kilibadilika
2026-10-06 10:49:29
1
givenmlelwa4
givenmlelwa79 :
zaman nilikuwa najua Kila kinachokuja kiwe kizur au kibaya kinatokea now ndio naelewa Sasa
2026-10-06 20:29:17
1
user4591503775069
rosemary :
Mimi Nina alama kwenye kalio, pia na mtoto wangu wa kwanza anayo mguuni
2026-10-06 18:27:39
1
shibaby086
santhush🥰🤩 :
mimi niko na alama dani ya macho nyeupe kama mwezi
2026-10-06 21:53:40
1
salma00027
miss 🥰🥰 :
me na m mkonon na alam ya mwez maan yk nn
2026-10-06 11:50:12
0
user3888447406878
Mercy Of God :
mimi alama M kama unaniongelea mimi mamy
2026-10-06 18:42:48
1
jackiee.finias
Jackiee Finias :
naombaa nione hiyo M in akujee hapo mkononi mm sijuwi
2026-10-06 10:35:06
2
seykhun0
Pajero :
Mimi ninavyote M na X
2026-10-06 12:44:01
1
user1113940028004
user1113940028004 :
mimi
2026-10-06 13:16:15
1
annagodfrey19
Anna wa God :
mimi sina m wala x mistari yangu ya miķono imeachana
2026-10-06 15:13:39
1
ledy..h
ledy. h :
Kweli kabisa na hatupendi kudaganywa na ndoto hua ukiota inatokea kweli na kutabiri kitu au vitu na mahusiano yanatukataa kabisa
2026-10-06 21:06:43
1
user98480440605435
David Kaema :
Ni kweli kabisa dada
2026-10-06 14:06:53
1
user2749581399083
Edu :
sawa
2026-10-06 11:09:18
1
To see more videos from user @devotajs, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About