Ukweli nahis ni kama ulinichoka..
Kwan ni kipi mpaka ukaondoka..
Kosa c kosa kidogo unafoka..
Et ndo yule tuloendana nyota..
Moyo unauma nahic ka nakufa..
Umebadilika kipi kimekukuta..
Ona mwenzenu mnaona Naumbuka..
Moyo unavodunda ka unapaSUKA..
Ata sijui nimpendaJe,kwenye mapenzi nimekosea nini..
Ananifanya moyo unadunda dunda,basi angesema kama me ni maskini..
Nikupende_JE(ambavo moyo wako ulizike)
Nikupende_JE(mpaka umenifanya naumia me
Nikupende_JE(ama ndo unataka wanizike)
Nikupende_JE(mpaka umenifanya naumia me
NIMALIZIE AU NIACHE?????????
2026-10-06 15:15:06
1
To see more videos from user @josca.beatz, please go to the Tikwm
homepage.