@chapa__tv: BUBBY WIZZY KAJA NA NYINGINE BWANA! 🔥🔥🔥 Hii sio ya mchezo, beat imelala! Umeisikiliza? FULL PERFORMANCE ipo tayari YouTube: CHAPA TV! Kimbia YouTube sasa, andika CHAPA TV - Utai kuta! #bubbywizzy #singeli #chapatv #homeofsingeli #trending

Chapa Tv
Chapa Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 06 October 2026 10:01:41 GMT
53427
4978
59
132

Music

Download

Comments

itsleylove1
it's leylove :
cjapenda hiyo blich
2026-10-06 14:43:09
33
nikokelvin06
NICKO TRACKi🧢 :
kwni Dj nani mbn ana balaaaaaaa sanaaaaa🙌🙌
2026-10-06 10:42:40
16
ice_d_fainext
ICE_D_FAINEXT❄️ :
uyu mtoto anajua ila ma dj anaowapt awajui beat gan anazionea 🔥🔥 umeona umo ulivyokaka we wasikupe beat zakuchangamka 🥺 wakupe beat flan Kam izi za hisia siyo Kwa ubaya fancy wako apa ✊🏼
2026-10-06 11:30:52
10
maestroelly3
Udy🤐🤑☠️ :
shida mkienda studio kurekodi mnaharibu 😢😢😢 muzitoe hivi hivi hizi song 😢
2026-10-08 18:05:25
1
masautishoesandcollectio
masauti shoes :
baada ya mwaka huu kuisha singeli nayo itakuwa ishapotea, maana kila msanii anaimba anachojua ila sio singeli
2026-10-06 11:54:55
8
deco_outfit
DECO OUTFIT 🛍️ :
KIZURI PESA MATUMIZI MAKALI 🫡
2026-10-06 12:00:30
8
ellydanny.7
R the danny😎 :
tuskiliz mzk mzur uuh
2026-10-08 11:18:07
2
theresiapeter962
official teddy :
mkalii wewe 🥰🥰
2026-10-06 12:05:45
7
bob_sule6
👑BOB_SULE6👤 :
HIT 🔥🔥
2026-10-06 10:16:36
5
fabio.mr43
FABIO Mr. :
MZIKI WA SINGELI UMEBADILIKA SANA SISI TUNAUITA (singeli bongo fleva) UMETISHA SANA MKALI WEWE..
2026-10-07 12:50:26
4
ghazzyboe08
GHAZZY_BOE ✨️ :
TWENDEE🔥🔥
2026-10-06 10:19:54
5
macode.vibe
Macode vibe :
mzikii mzurii 💯💯💯
2026-10-06 11:02:32
6
hmalume45
🌴it's MALUME.4️⃣5️⃣ :
mkali weweeeeeh
2026-10-07 12:11:22
1
_msanii1
Ricon-tz :
Nomasana🤟
2026-10-06 13:03:54
3
allykhamis811
ally home 🏡 finishing :
sio pos
2026-10-06 12:50:17
3
riders.666
Raiders 666🔥 :
nomaaaaaaaaaaa
2026-10-06 19:36:17
1
josephumdosho
mdosho JR 🔥 :
atariiiiiiiiiiii 🔥🔥💯
2026-10-06 12:31:59
3
faykatot
phetty ✨🦋 :
2026-10-07 08:56:05
1
pinkdi01
🦋diyah🦋 :
[Red heart][Red heart][Red heart][Red heart] me napenda san nyimbo zako jmn
2026-10-06 20:20:20
2
martindeograsias
Martin :
string
2026-10-06 13:49:01
3
user2775636728240
Francis charles🐘[Guaghzou] :
yamal
2026-10-06 10:09:07
3
jitihadsalum
jitihad salum :
hii nymb kal sn
2026-10-06 15:49:28
1
mommy.smh
🪎@sm@h mom 🎀💎 :
jmn blich mbay nani kamshauri sijuh 😳😳
2026-10-07 16:20:17
1
clavian.khan47
it's clavian khan :
slime gee 🤘
2026-10-06 20:39:06
1
jerobrand01
JERO BRAND🍁 :
watu safi og[Fire][Fire][Fire]
2026-10-06 16:08:19
1
To see more videos from user @chapa__tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About