@nestory.mbena:

Nestory Mbena
Nestory Mbena
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 06 October 2026 10:29:19 GMT
19617
431
50
38

Music

Download

Comments

rbengo
Bengo+ :
Visimu hvy vinachanganyikiwaga vyenyewe hivyo hata Kam haujachomeka chaja vinaonyesha vinaingiza chaji🤣🤣
2026-10-06 13:31:57
13
nikonikotz
niko :
hiyo simu hata ukiweka jilani na nguzo inaanza kupeleka
2026-10-06 14:51:06
8
mtemijohn1
John Mtemi :
Ivi dada unatuonaje lakini si watanzania wenzio
2026-10-06 15:59:33
1
mkaliamboga77
Maua💕 Mkaliamboga💞 :
sumaku sio sumanku
2026-10-06 15:21:13
1
hasmas856
max :
ingekua hivo magufuli angejenga bwala la nini
2026-10-06 15:01:51
0
shamt940
3 bullet sniper :
I c mbovu iyo ic ya chaji kwaiyo yajichaji yenyewe chanzo chake huwa ni maji
2026-10-06 16:12:00
0
felixmafikirigmail.com
........?.FMR :
kazi ipo
2026-10-06 16:01:57
0
sprfllyoung
manifongo GARAGE mwanza :
sio kwel ivyo visimu Huwa vina chaji ata kama imetoka kwenye chaji
2026-10-06 16:13:04
0
samsonmakuna187
Samson Makuna :
Kuna watu watafanya kweli kumbe NI uongo😄😄😄😄😄
2026-10-06 15:01:43
0
user29617085759186
Geofrey :
dada angu hivi unajua kutengeneza chapati zile za juchambuka
2026-10-06 15:03:25
0
user8162093065163
MKUFYA :
sumanku sumaku
2026-10-06 15:08:52
0
mlimasayunikigamboni
mlimasayuni :
hiyo simu inatatizo la charging IC, inajichaji wenyewe, ingelikua kweli, ulivyo chomeka waya simu ingewaka Bila kubonyeza batani
2026-10-06 15:31:22
0
adamumpumbe1
adamu Mpumbe :
aaaaah kumbe na mee simu yangu inaweza kunipeleka mjin😂😂😂😂
2026-10-06 15:12:33
0
barakammganga
baraka mipango :
maoni has yasiyo na matitki mtu anatoa maoni kulingana na uwezo wa ubongo wake usishangae dada kwahayo maoni naomba yanakukatisha tamaa kutuonesha ujuz ulionao usikate tamaa na mungu akubaiki dada ang
2026-10-06 15:13:29
0
addiykibegi
addiykibeg🎒😜🇧🇷 :
mhhh
2026-10-06 15:21:35
0
mtumishi__emmanuely
Councellor :
2026-10-06 15:34:39
0
shabani.ramadhani96
DALALI KING YEHU 👑 :
vipi kwenye SMART PHONE itachaji?
2026-10-06 12:38:31
0
victorlyimo25
mr :
sikweli
2026-10-06 13:35:43
0
nikoambayeniko_fabrics
nikoambayeniko_fabrics :
Naomba sumaku
2026-10-06 14:58:21
0
calvin.emmanuel3
Calvin Emmanuel :
itajaa sasa
2026-10-06 13:27:15
0
0654237988xsteven
STE❤️VEN🏧 :
ata mm ishawai kunitokea inajichaji wenyewe
2026-10-06 16:09:10
2
0000000f.b.i
0000000F.B.I :
ijumapili CHAT GPT alikuja kanisani kwetu kuombewa [Big LOL][Big LOL][Big LOL]kwasasa anasema anaendelea vizuri[Pray][Pray]
2026-10-06 16:22:52
0
joden0021
joden002 :
et kwny simu kubwa je
2026-10-06 13:28:30
0
shalomrajabu
Rajabu Rajabu :
hivi ni kweli?
2026-10-06 14:53:14
0
3paulomlekwa0778388357
Mr kelele💥🐇🐘 :
dalasa huru
2026-10-06 13:17:29
1
To see more videos from user @nestory.mbena, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About