wanaume wanaojua thamn ya watoto kumbe bdo wapo😭😭😭
2026-10-06 13:05:48
31
Lucky🌷🦋 :
uwiiii Mungu naomba mpe umri mrefu mume wangu mm😭🙏🏾
2026-10-06 16:56:30
4
jaclinejoel :
jaman apo uyo bado alikuwa anamtaka mama yake iyo swala la mtoto ni kisingizio .mungu ampokee
2026-10-06 13:41:49
12
1212 :
poleni
2026-10-06 13:24:59
0
@mary❤️ :
Kwa hyo mamaako unajua ana hali gan sahv mbn wabinafsi nyie😭😭😭watoto si ungepata wengine lakn, Mungu nilindie kaka zangu waepushe na maamuzi magumu
2026-10-06 13:39:14
13
Angel❤️ :
Daaaaahhhh 😭😭😭
2026-10-06 12:38:25
0
Mama j :
NDUGU ZANGU WATANZANIA MAPENZI YAKIKUSUMBUWA TAFUTA MTU HAKUSHAURI TU SI MNAONA KIJANA MWEZETU
2026-10-06 15:42:07
5
mkorinto2009@c :
wanaume wenzangu, tutafute pesa kwa nguvu sana💪💪💪 mtoto akilelewa sijuw na baba mwingine sawa tu mtoto atakuwa atajuwa ukweli yy ndo atachagua yupi babaake🎤 yaan unajiua ili mwanamke aishi kwa amani cyo mamaako siyo dadaako , mke au mume ni rafki na kwenye maisha hakunaga urafiki wa kudumu❤️🔥
2026-10-06 17:06:43
1
Baby girl ❤️ :
Hakika nimelia sana kwer sisi wanawake tuna roho mbaya sana dah😭😭😭
2026-10-06 12:15:27
8
Johnson :
dah ni ngumu kumeza aiseee 😭😭😭😭😭😭😭dah inaumiza SANA Hawa wanawake aiseeee
moyo wa mtu n kichaka Mungu atupe amani katika kila jambo kwasababu amani ya Mungu hupangua mawazo na mamuzi mabaya
2026-10-06 15:41:21
2
Martha Ndimbo :
HUU NI MWEZI WA MAOMBOLEZO YA VIJANA WETU 26OCTOBER2025 MWENYEZI MUNGU AWAPUMZISHE WOTE KWA AMANI AMINA
2026-10-06 16:41:57
0
SARAH🇹🇿 :
alieelewaa anieleweshe bc
2026-10-06 13:35:17
1
Neemarodrick :
dah nimesoma mpaka mwisho nimeskia kulia jaman pole sana 🥺
2026-10-06 14:43:25
1
𝐎𝐁𝐀𝐃𝐈𝐀≈༆𖣘🥑🥑 :
Ivi huyo mwanamke na huyo mwanaume wanajiskiaje wakiona hivi
2026-10-06 15:13:40
1
Veronica Msomba :
aya familly friend wote walioa sehem moja hatimae wanakufa kifo cha aina moja nashindwa kuelewa. nimepata mashaka.kama kuna kupumzika mpumzike kwaaman shemej zang
hakuna kitu kibaya mtu anakufa kwa ajili Yako hiyo laana itamtafuta Sana uyo mwanamke jamani tukishindana tuachane kwa upendo Kuna familia sio mtu afikie huko mungu niepushe na hii laana
2026-10-06 17:56:00
0
latifa latifa :
wanaume msikate tamaa katika haya maisha mue na subila mtu akikuacha hata kama amechukua mtoto usihuzunike kabisa mana uyo alikuwa sio hatima yako alikuwa mpita njia tu hatima yako ipo tu itakuja japo kwa kuchelewa nawaomba msichukue maamuzi magumu uyo kiasi hicho tafafharini sana msipende kukaa na vitu vinavyo watesa kwenye moyo yenu
2026-10-06 18:08:06
0
To see more videos from user @fathermodric, please go to the Tikwm
homepage.