itabidi huu mwaka nijifanye mganga nikule hizi pesa za wakenya.... tayari Nishanunua mkia ya ng'ombe😁😁
2026-10-06 16:52:16
158
charlo praiz :
christ Jesus is the only doctor
2026-10-06 21:13:30
37
Abija :
Aki munisaidie number ya huyo Dactari
2026-10-06 14:42:24
74
Kelly vin 091 :
mzee akitoa kofia mnipigie
2026-10-06 17:50:12
69
Chepkoech ✨🦋🥰 :
Nataka huyu daktari mnipee number akii 🥺😩
2026-10-06 20:35:23
26
It'z 🥀P💞O💞P💞P💞Y🤭✌️ :
nipewe number ya huyu wallai 😂😂😂🙌
2026-10-06 13:29:34
46
Li Ndah🎀 :
Mbona watu waja coment nataka kusoma coments bana
2026-10-06 12:43:34
29
أنور يتو🇸🇴🇮🇷 🇵🇸 🇰🇪 :
Hongera kwa Director ya hii movie 🤗
2026-10-07 04:29:26
9
Alex :
Gen-Z mtatuonyesha mambo... huyu Mzee ni Gen-Z
2026-10-07 01:40:22
18
lutta@peter :
this is acting
2026-10-07 05:50:29
8
malik jacobs :
utapeli
2026-10-06 15:04:48
17
beatrice kalwalebeatrice@gmail :
munipatie namba ya mzee plz plz
2026-10-06 20:32:03
3
Salome Wakonyo :
ya mungu ni mengi ya kuku ni mayai
2026-10-07 10:28:14
5
OCPD :
jina ya movie
2026-10-07 00:47:22
6
S*muller :
naomba number ya uyu mzee please
2026-10-06 21:01:45
2
Vanny Bor🇰🇪 :
huyu mzee mbna naskia ni mkaleee, sharp boy
2026-10-07 07:02:27
5
monidivah :
ni comedy guys??😏😏😏😏
2026-10-06 15:49:11
1
kimsian ❤️❤️ 🇰🇪🇰🇪 :
hii ni content 😅
2026-10-06 20:44:49
7
Naom :
content tupu😅
2026-10-06 20:32:40
5
saby gyal :
Hii story iko hivi ,huyu dem alikuwaga anadate huyu msee amepigwa fimbo sasa huyu msee akapata message kwa simu ya dem akiwa anacheat akaamua kucheat na dadake ,so hiyo kucheat vile ilijulikana akaamua kuwafunga wote kwa kamba awakule wote .Katika hiyo harakati jamani akiwa amejitayarisha watu wakaja wakapiga kelele so wakaita huyu mwenye anarecord sahi nayeye akaita daktari mwenye mnaona huyu daktari akamchanganya mpaka akashindwa kusimama inshot amexhizi kidogo ,wewe nifwatilie tu🤣
2026-10-06 16:42:02
28
Ekewanku Kiabogirango🤣🤣🤣 :
pia mm mnipee no ya uyo
2026-10-06 20:19:36
5
muthonih0 :
mbona Hussein haujibu comments tupee namba
2026-10-06 14:48:52
7
Irene Naibei :
huyu mzee aki, I need him. number yake naomba
2026-10-06 13:11:17
9
madam boss❤👈🥺🤣 :
nadai no yake plz
2026-10-06 14:15:18
9
To see more videos from user @hussein.tv8, please go to the Tikwm
homepage.