@talkboutitwithconradley: Adhibu hicho kiumbe my dear kabla dunia haijakusaidia jukumu lako when it's already too late. Dunia haijawahi kuwa na huruma, ila inajua thamani ya muda na huwa haina haraka, usiruhusu mwanao akakutana na dunia uso kwa uso wakati ulikua na uwezo wa kumrekebisha na kumkanya wakati bado inawezekana. Usiubembeleze urafiki na mwanao ili akupende, upendo wa mume wako utoshe kukusogeza. Kuna siku utaandikiwa barua kama hii na hutajua cha kufanya, machozi yako yatakua ni unafiki mbele ya hukumu yake. #parentingtips #upbringing #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokuganda🇺🇬🇺🇬🇺🇬 #tiktokkenya