@zompahtz: Wadada na ela🤣🙌🙌#flypシ #viralvideo #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #trending

ZOMPAH
ZOMPAH
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 06 October 2026 11:52:58 GMT
236713
18345
708
273

Music

Download

Comments

s..t.scairay
chareen :
yani me ningekimbia nayo
2026-10-06 12:32:01
48
magie2240
ItsGrethy ˙⋆✮ :
Mimi baada ya kuokota hela 😂
2026-10-06 13:57:41
86
cansu9631
HADASSAH :
Tuliocheka kitandani like zetu hapa [Big LOL]
2026-10-06 13:01:06
84
miriam.jurius
Miriam Jurius :
Mme tuzalilisha wadada hatupo ivo au mnasemaje???
2026-10-06 14:25:04
102
reydonta1
Rey actress :
Lakini chakuokota sicha kuiba [Snicker]mm[Big LOL][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-06 19:13:03
0
phina6273
phina@girl :
😂😂😂nachoka mm
2026-10-06 20:22:54
0
_emaestro
_emaestro :
hiyo n content make hao wadada ni zaid ya content 1 unawatumia
2026-10-06 18:05:50
2
marcy0428
Marcy :
ukute ni demu wa mtu yooooh😅😅
2026-10-06 12:53:22
31
mpangalaally
ALLY SAIDI MPANGALA :
Scripted hiyo hata hao Wadada ni sehemu ya content hata tembea yao kama wameambiwa action. Ukiokota hela huwa mwendo unachangamka huwez kuburuza miguu😂😂😂
2026-10-06 13:40:52
19
babe.huu3
babe huu🥀💞 :
Me nilizidishiwa chenchi nilitembea mpaka miguu inapelea mweeee😅
2026-10-06 14:04:20
10
jasmin.emanuel
kimimi j. :
mm siikwambii Wala siludishi kwa ufupi mm sio mwema.😂
2026-10-06 13:00:31
67
mimah.qute3
Mimah Qute ❤️🍯🦋🦋👏❣️ :
Pita mtaa wakwetu bas😂😂
2026-10-06 12:24:16
73
user85867255094754
daya :
me naokota then napanda boda hunion😅
2026-10-06 13:40:48
11
theboy111peter
Imma🪖🇹🇿 :
Sjui wenzetu walizaliwaje na kupenda ela [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-06 17:55:53
1
sirbboys
sirbboy :
[Big LOL] wekuweza [Tears of joy]
2026-10-06 14:15:40
0
totorimi72
caren1014 :
akuna mwanamke wa kufaulu huu mtihan😂😂
2026-10-06 18:15:18
6
user170047738206
Edward :
weeeeeee
2026-10-06 19:28:30
0
chusse_brown
chusse_brown_🇹🇿 :
eti pole😭😂😂😂😂
2026-10-06 12:59:49
9
user1554965165873
Tengo gerl🌹🌹 :
mm sikurudishii broo nione mbaya tuu😂😂😂🤣😂🤣🤣🤣😂😂
2026-10-06 13:29:53
7
diana.stephen2
🥰🥰 smile🦋🦋 :
jaman hiyo na tabia yangu[Snicker][Snicker]
2026-10-06 14:34:49
5
adirfan250
adirfan :
sina woman huo nikiokota nakimbia mbio
2026-10-06 13:13:04
5
user928873158816
Anna :
mm nikiokota cha mtu swez kukitumia hd sku tatu ziixhe mwenyew ajitokeze asipojitokeza bs ni ridhiki yangu 🙏🙏
2026-10-06 14:02:48
8
vailethluvanda395
luvandavaileth :
😁😁😁😁
2026-10-06 12:39:14
7
zaiy.babe32
𝐈𝐭'𝐬_𝐦𝐞_𝐙𝐚𝐢𝐲 :
Me ningekimbia nipande na boda kabisa😂
2026-10-06 14:59:05
0
naiyraah
khadie❤ :
jaman hali ngumu hii mitego ya pesa ni kuzalilishana sijapenda
2026-10-06 16:11:06
0
To see more videos from user @zompahtz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About