pole sana mdogo wangu[Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying]
2026-10-06 19:58:47
1
Empress dee💕 :
mbon kam namjua but pole moris😔
2026-10-06 20:53:41
1
Pendo Chalamila :
mhhhh mpe pole alenikalibisha mbeya ndamfwata Nan sass saiz
2026-10-06 23:10:29
0
itsjoy💕 :
Poleni san
2026-10-07 03:16:22
1
Nancy Jonh :
heee mungu wangu
2026-10-07 09:20:51
1
vee :
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponii
2026-10-07 09:55:45
1
aiem wity :
daah ila mapenzi nyie Dah watu wanawatu wao unaempenda ndio anaekuumiza
2026-10-07 10:31:33
1
Fine blandie ♏️ :
ipo hivi kaka angu mahusiano yana siri kubwa nyie mtamlaumu huyo msichana lakin ukweli Mungu ndo anayejua..shuhuda ninayo mimi 🙌🏾🙌🏾🥹 kuna mwanaume alishawahi kujaribu kujiua alikunywa sumu kisa mimi na makosa ni yake mwenyewe jambo lilinipelekea mimi kukaa mahabusu muda mrefu na aliacha ujumbe hivyo hivyo ko mtuhumiwa wa kwanza ni mimi🙌🏾🙌🏾🙌🏾msihukumu jaman marehemu kamkosea Mungu pakubwa na huyo binti hana makosa katika icho kifo .. ifike Muda tuwe karibu na Mungu sababu kwa kawaida shetani akiona upo stressed anatumia huo mwanya kuharibu mambo yako na kukupa mawazo mabaya🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙏🏾❤️tumuombe Mungu atuepusha na nafsi za umauti wakujitoa uhai kwa kweli 🥹🥹
2026-10-07 00:09:33
14
𝐅𝐢𝐱 𝐏𝐡𝐨𝐧𝐞𝐬 𝐕𝐢𝐛𝐞 :
Love is Scam
2026-10-06 23:00:16
1
Veronica Msomba :
na nyie vijana muwe makini na familia mnazoingia ata familia zinamaagano yaajabu😭😭😭
2026-10-06 15:11:45
25
msalababey💙😁 :
skuiz hakuna upendo ndugu zangu wa njombe tuelewane tu dah rip bro
2026-10-06 20:42:21
12
MOON🌚 :
rest in peace muriji🥺😭😭
2026-10-07 06:17:47
1
KoKoYe :
kka dunia aina uruma RIP
2026-10-07 07:56:15
1
Janety💖kasongo :
daah mapenz hapan kwakwel mh
2026-10-06 20:07:14
6
Falhaty Mofuga :
simfahamu ila nimeumia sanaa kiukwelii
2026-10-06 16:03:58
8
erick john butto :
point saana brother 🙏. mungu akupe pumziko la milele.
2026-10-06 19:37:25
5
ka mmamaa :
jaman s sara uy mdad
2026-10-06 17:23:17
8
Double tee :
Nimeamin Leo kuna watu wanaupend kutok moyon
2026-10-06 19:31:05
8
IT'S..BLACK.🔵 :
mademu mnatuuwa sanaa
2026-10-06 12:32:18
5
Peniacbaby :
Mim nawakumbusha tu kuwen makini na mapenz
2026-10-06 17:51:29
6
retina150 :
poleni sana Wana mbeya aisee😭😭😭😭
2026-10-07 06:25:33
0
madaba home :
duhhh
2026-10-07 09:01:08
0
j@y 4⃣ 5 :
nakubali damu ilemi majonzi
2026-10-07 04:57:17
0
beth rich :
Yani mm nijiue wapate hasara wazazi wangu yeye abaki nafuraha nafamilia yake HAPANA NIMEKATAA kweli itaniuma ila aita niuma milele ningeondoka tu mkoa uo niende mbali nao mwezi tu ningemsahau ila sio kutoa UHAI WANGU punzika kwa Amani kaka wawatu 🙏
2026-10-07 09:41:17
0
Mam Light :
Rip ila ndugu ulipost story hii mbn maelezo yako na alicho andika kwenye barua mbn havifanani samahn naomba ninukuu alicho kiandika "NIMESHINDWA KUA MBALI NA MWANANGU NA KUKUBALI ALELEWE NA MWANAUME MWENGINE ANGALI NIPO HAI" hiki ndo alicho kiandika lkn sio hicho ulichokisem
a chanzo naona ni mtoto na sio usali
2026-10-07 02:29:44
2
To see more videos from user @itsblack030, please go to the Tikwm
homepage.