@kenzofx34: “Kuna siku nilikuwa naangalia ndege zikiondoka… ✈️ Leo naelewa kwamba ndoto haziji zenyewe—zinahitaji SKILL, DISCIPLINE na ACTION. 📈💰 Forex haikubadilishi maisha kwa siku moja… lakini ukiichukulia serious, inaweza kubadilisha namna unavyoishi. 🔥 Usitamani maisha ya trader mwingine. Jenga yako. 🚀”