ni bora kufa single kam mume atukuwepo kuliko kuretad
2026-10-06 13:48:14
137
BI HAWA :
Kuritadi ndio nn jaman nieleweshen
2026-10-06 19:32:49
14
kessey Swide :
Subhana Allah, mimi nilislim na mpaka sasa nina 43yrs bado sijaolewa, alhamdulilah wala sitamani kurud kwenye ukristo, ALLAH atanistiri kheir yote iko kwake, nasubir rehma zake, alhamdulilah ala kull hali
2026-10-07 10:22:50
58
Tiffany🦋❤️ :
najiona naenda kuritadi na kutengwa na ndugu 😂
2026-10-06 21:52:37
11
abdulhalday279 :
Tatizo la kuchagua chagua lakini pia kukataa Ukewenza..Allah amfanyie wepesi apate Mume bora wa Kiislamu
2026-10-06 13:26:23
29
Mwanapili Mwachirea :
Rabby tujalie Subra🤲
2026-10-06 12:19:28
13
Azzah🥰 :
Ya Rabbi kila amabe hajaolewa mzidishie subra InshaAllah
2026-10-07 10:30:54
14
@asha habib :
bora kuolewa mke wa pili hata wa tatu kuliko kuritadi
2026-10-07 14:18:56
27
cici :
Mwenyezi Mungu amuongoze na sisi sote atupe mwisho mwema
2026-10-06 13:37:51
21
bimzuri6 :
Allah awafanyie wepesi waislam wenzangu wapate nusra
2026-10-06 20:21:12
7
ℝ𝕖𝕜𝕙𝕒🩷 :
BORA NIWE SINGO KULIKO KURITAD MUNGU ANINUSURU MM NA KIZAZ CHANGU
2026-10-06 15:05:14
20
Umm♥️ Ashir 🇺🇬 :
ni huzuni sisi wengine tuliacha ndoa na Mali kisa mume ameritadi kumbuka sikuzaliwa Kwa uislamu,
2026-10-06 14:27:54
10
fatma sweet poison 🇯🇲 :
iman dhaifu si watu wawe na subra
2026-10-06 18:12:43
5
꧁TWINNO꧂❤️🍀 :
Siwez kufa single tutajua mbinguni 😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-08 08:05:06
0
superbagome :
Allah akuifazi cheikh wetu
2026-10-06 12:30:28
7
Mamu🍀🧕📿 :
ALLAH amzidishie subra wakati wamungu ndio wakati sahihi
2026-10-06 18:01:36
17
machicha ze mr :
Shekhe Muislam mwanaume anaruhusiwa Kumuoa asiye muislam Baali Mwanaume wa kikristo haruhusiwi kumuoa bint wa kiislamu Maandiko yako hivo.
2026-10-08 07:51:58
0
Muu collection 🇴🇲🇹🇿 :
mim ninacho amini kila mtu ataolewa haijalish ni muda Gani ,kikubwa Allah atujalie subra Inshallah 🙏 ila so, kuritadi hapn 🙌
2026-10-06 14:41:51
13
Mrs Abdully Og 🧕 :
kweli utalitad utaolewa ila hautakua na amani katika hyo ndoa,, ndoa ni safari ndefu yenye kufurahia na kuchukiza sana sana sana, kwahiyo siku ukigombana na huyo mumeo naimani utashika msahafu na kujutia, yalinikuta ni bora muoane wote dini moja hata mkikwaruzana ndani,,, wote dini moja,, ni kheri uchelewe kuolewa na hiyo ndio nilipitia mm kumbe ridhiki yangu ipo inakuja hivo na ww ridhiki yako ipo inakuja 🥰🥰
2026-10-07 03:47:45
8
Wakaso Issa :
dah aisee Kuna watu wengine wanatafuta ndoa , huku wengine wanakataa ndoa yaan sijui imekaaje hii.
ila sometimes wanawake wakifuatwa ktk umri sahihi wa kuolewa huwa wanakataa lkn wakishakubuu ndo wanaanza kwenda mbio
2026-10-06 19:35:09
0
💞 mamy Rau💞 :
kulitad ninni jaman tusaidie kulijuwa hili
2026-10-07 19:04:59
0
princenssih :
samahani kulitadi ndonini
2026-10-07 19:28:18
0
💫✨Sabrih Huseni✨✨ :
naomba kujua maana ya kuritadi please
2026-10-08 03:42:45
2
mama ney❤️ :
shekhe nimeolewa nimelala na mme wangu ck 1 yupo moshi kikaz had leo hakuna huduma wala hanipigii cm kila nikiomba matumiz anasema subra nakutumia mara nipo kwa wakala namwambia kama huna haja na mm bas nipe talaka mwaka sasa nifanye nn
2026-10-06 14:38:07
0
Pastory Pk :
Huo ushauri wako mabint zako wataufata wao
MKE WANGU MTARAJIWA popote ulipo sitojari dini yako mama utafaata dini yangu pia watoto wetu nao wataamua wao mambo yao wenyewe
2026-10-07 19:55:34
1
To see more videos from user @sheikh_kosonso.official, please go to the Tikwm
homepage.