@denri_africatz: Ni mbaya mazee🤌😅😅😂… Mwezi huu, tumekuletea ofa maalum kwenye mabegi yaliyochaguliwa ili uweze kujipatia ubora, mtindo na uimara kwa bei ya kipekee. 1️⃣ Mabegi ya leather, imara na yaliyotengenezwa kudumu 👜 2️⃣ Ubora unaoweza kuhimili matumizi ya kila siku kwa muda mrefu 💪 3️⃣ Space ya kutosha na mpangilio unaokusaidia kubeba kila kitu bila usumbufu ✨ Haya si mabegi kwa matumizi ya muda mfupi..... Tumeyatengeneza kudumu. Chagua begi lako leo. 📍 Mreiny Complex, Sinza Kijiweni 🚚 Delivery: +255 761 970 255 #DenriTz #fyp #foryoupage #creatorsearchinsights #createsightinsight
Denri_AfricaTz
Region: TZ
Tuesday 06 October 2026 12:26:48 GMT
Music
Download
Comments
Maxperries :
it looks like a joke until it happens to you 😂😂😂😂
2026-10-06 13:05:17
12
renelly61 :
Hahahha hiii nayo imeenda 😂😂 I love u john🥰😂😂😂😂😂😂
2026-10-06 17:34:21
1
gabbystylestz :
Status hairuhusu 🤣🤣🤣
2026-10-06 17:29:45
1
@ijang' :
NDOMAANA NAZISAKA SANA HIZI HELA 🤣🤣 , EE MUNGU NISAIDIE
2026-10-06 15:15:24
2
official zeir :
mimi hata nisinge kutoa wallah 😅😅😅
2026-10-06 14:19:30
2
@official angel😇 :
sasa hela huna mtu asicheat zake😂😂😂
2026-10-06 14:47:17
1
mdalingwa betty :
hata ningekuwa mimi un
2026-10-06 15:17:29
0
Cana GNL👔 :
Noma fammy 🔥🔥🔥
2026-10-06 16:47:13
0
monicagukwimalolo :
wanawake mungu atusaidieee
2026-10-06 16:21:41
0
Gideon converter :
jamaa bodaboda namkubali kinoma anajua sana
2026-10-06 16:04:23
0
hope :
[Sticker] @
2026-10-06 13:46:02
0
nadzuwakilaga16gmail.com :
🤣🤣🤣🤣
2026-10-06 16:02:38
0
Itc.pam👀🫶🏾 :
hii ndo inaitwa money talks😭🤌
2026-10-06 14:17:18
0
mctoshy🫣 :
ni mbaya mazee 🤣😂
2026-10-06 12:46:16
0
glycar :
ety square itakuaje asa😂
2026-10-06 14:43:10
0
venance :
tutafute ela kwa kwel
2026-10-06 13:54:12
0
Elizabeth Fortunatus :
😂😂😂 ndo upigwe ivo😂😂😂
2026-10-06 12:37:33
0
~Sia🌸💦 :
2026-10-06 13:54:50
0
user2734653143174 :
ee dawa ndoiy
2026-10-06 17:35:39
0
Lastborn❤️ :
😂😂😂😂😂
2026-10-06 13:42:26
0
Rosalia Mallya :
2026-10-06 13:40:24
0
zammy🦋 :
status yang hailuux kukaa nyum ya pazia
2026-10-06 15:20:11
0
phina staar🥰🥰 :
uyu mkaka mrefu hadi Raha yanii
2026-10-06 12:35:31
3
Christina :
Tafuteni hela kama hamna hela achaneni na mapenz
2026-10-06 13:29:43
2
joankwayu :
Iki kimwanaume kingine kinatia hasira hela akina kibaya 😏😏
2026-10-06 14:10:25
0
To see more videos from user @denri_africatz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.