@activevoicetv: HOFU YATANDA KWA WAKAAZI WA KWALE BAADA YA KIFO CHA RAYYAN WADAI KUTOKWENDA TENA SKULI NA KUWAPELEKA WATOTO WAO KUSOMA Hayo wameeleza kwa uchungu wanajamii wa kijiji cha Kwale Mponda kufuatia kifo cha mtoto Raiyan kilicho gusa nyoyo za wengi hivyo wameiyomba serikali kuwajingea skuli karibu na kwao ili kuepuna na matukio yanayojitokeza wakisema bila kufanyika hivyo hawatowapeleka tena watoto wao kutokana na umbali na mazingira magumu ya njia na msitu kuelekea skuli.
Yote hayo tanasababishwa na serekali wanavotuzarau wapemba
2026-10-06 13:47:07
12
Henam :
itakua iko kijiji kina ushirikina unaendelea muwe makini sana
2026-10-06 13:45:18
7
Nirah💕 :
Ayo mapori kwanza yaondoleewe yotee jamani💔
2026-10-06 16:24:38
3
Saleh David :
BABA MWINYI WAANGALIE KWA JICHO LA HURUMA WANANCHI WAKO HALI NI MBAYA BABA
2026-10-06 16:09:44
2
DADY :
Watoto wazuri wenye dini wapo pemba
2026-10-06 17:12:57
2
thuwayba_04 :
Uku kweliii mtihanii duh!!
2026-10-06 14:44:09
1
Mr.twala :
Suluhisho ni kurejea kwa allah ndio muamuzi wa kila kitu na sio raisi wala wabunge hao wote ni wakupita tuu
2026-10-06 19:05:37
0
hamiyar@ :
mm zamani ilikuwa ndio njia yangu hiyo kwenda wete dah yaani inasikitisha kwa kweli
2026-10-06 15:11:28
2
Aly Salum :
Poleni Sana Allah Atawalinda
2026-10-06 14:10:45
1
sulemootz🇹🇿 :
Hawa Askari wetu wafanye uchunguzi wa kina
2026-10-06 18:57:30
0
Fatma 123 :
jamani.bb.raisi.waangalie..kwa.jicho.la.huruma
2026-10-06 18:52:47
0
Ridhiwan Salim Mbarawa :
Haya mawazo ya kujengwa shule huko kwale mpona ni ya maana sana kwa vile hofu zimekua kubwa sana kwa wazazi.
iwapo serikali italikubali hilo basi ili tumuenzi marehemu Raiyan shule hio iitwe jina la marehemu.
Nawasilisha
2026-10-06 16:35:59
0
Rahma Mussa :
wahusik jamanii kioneniii kijiji hichi cha kwale
2026-10-06 18:17:07
0
Akhseyf :
serikali iwawekee kituo kidogo cha polisi , wawe wanafanya doria za kushtukiza huenda wahalifu wakaogopa
2026-10-06 17:32:38
0
Haroub Suleiman :
poleni ndugu zetu kwa maoni yenu ya kutaka shule ni bora watu wa kwale kuanzisha mfuko wa kuchangia ujenzi wa skuli na madrasa
2026-10-06 18:09:02
0
muddy mpemba 2 :
dahhh kwel sana Allah tujaliye kila la kher inshallaah
2026-10-06 17:50:35
0
chii :
Allah atupe subra Kwa hili ni mtihani mkubwa mungu atatulipia inshaallah
2026-10-06 14:22:42
0
Lunaa :
Mtihani
2026-10-06 13:09:11
0
RAS ISLAND ELEGANT SCHOOL :
Utatuzi wa haya yote ni skuli na barabara
2026-10-06 16:49:47
0
p :
wakwanza ni wananchi vyekeni majority kwaujumla nahakuna mtu kusema eneolangu sitakilifyekwe akamatwe
2026-10-06 17:01:57
0
RAS ISLAND ELEGANT SCHOOL :
MHESHIMIWA RAIS WETU TUNAKUOMBA KIONE KIJIJI CHA KWALE MPONA KWANKUJENGEWA NJIA NA BARABARA
2026-10-06 16:52:19
0
Bin Ally :
watafutwe
2026-10-06 17:25:13
0
khairat Hamadi :
mm naona kwnza skuli halaf barabara mnatzarau wat wa pemba
2026-10-06 19:08:35
0
emy__henna :
Kumbe wao barabara hzijaenea kam zanzibar
2026-10-06 17:16:26
0
12 :
wale hawezi kupanda mti km ule wakajitundika mana bado ni wadogo sn.wale watto utakuta wametundikwa😭😭😭
2026-10-06 14:36:32
0
To see more videos from user @activevoicetv, please go to the Tikwm
homepage.