@islamic_rihla: Kumchafua mtu, kumsengenya au kumzulia uongo ni jambo zito, hasa unapoharibu heshima yake mbele ya watu. Haki za watu si jambo la kuchezea ikiwa umemdhulumu mtu, jitahidi kurekebisha kosa na kuomba msamaha. 🎙️ Mzungumzaji SHEIKH NURDIN KISHK 🔸 Fuatilia Islamic Rihla kwa mawaidha mafupi yenye kujenga imani na maisha. 🟣 Follow | Share | Save Islamic Rihla — Safari ya Imani #IslamicRihla #SafariYaImani #Mawaidha #Ghiba #Dhulma 🟠 FOLLOW US
siwasemehi mpaka yaumul hisaab...mtanambia kikubwa nichowafanyia mpaka mkanifikisha hapo na kusahau wema wote nlowafanyia...AleysaLlahu hi ahkamil hakimiin....hasbunallahu wa ne'emal waqiil🤲
2026-10-06 17:04:24
3
user75587134878 :
Allah akuhifadhi Na kusengenya
2026-10-06 16:03:32
2
user1185137539992 :
Mungu atuhifafhi na hiyo zambi
2026-10-06 18:25:27
0
Sophia Msung'e :
Allahu akbar
2026-10-06 18:36:45
0
mwajumaharun :
Ameen Ameen Ameen
2026-10-06 18:25:42
0
Amina shabani :
subuhanallah Allah
2026-10-06 17:52:12
0
ibraomary695 :
mungu akuabariki
2026-10-06 18:50:56
0
UNIQUE STITCHES🪡 :
Allah atusamehe na atujaalie mwisho mwema
2026-10-06 18:03:54
0
Mamish :
SUBHANALLH
2026-10-06 17:22:02
0
Mejumaa Mwahenzi :
Alihamdullah
2026-10-06 15:55:55
0
sharifaoman5 :
amin 🤲
2026-10-06 17:12:55
0
Khadija Suleiman :
subha Ullah
2026-10-06 15:54:45
0
Abuu Aisha assalafy :
subhanallah ❣️❣️
2026-10-06 14:17:19
0
Fetty 💓 :
Allah maswaliallah
2026-10-06 16:17:25
0
umu khadija :
subhanalaah
2026-10-06 15:20:33
0
jicho-pevu002 :
Allah akbar
2026-10-06 15:02:38
0
Raphiaa idrisa mndeme :
subhanallah
2026-10-06 15:51:33
0
zully :
subhan Allah
2026-10-06 18:20:11
0
hadija❤️❤️❤️ :
Subuhana. Allha
2026-10-06 14:50:28
0
salam yusuph :
mungu tusaidie maana kusengenya tunaona kama ubuyu
2026-10-06 17:22:37
0
Esther 💕💕💕💕 :
🤲🤲🤲
2026-10-06 14:12:22
0
Salumu Seluwa :
😂
2026-10-06 19:19:37
0
To see more videos from user @islamic_rihla, please go to the Tikwm
homepage.