@safari.zetu.online: #ebonoahark

Safari zetu online tv
Safari zetu online tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 06 October 2026 12:59:42 GMT
60227
1821
54
89

Music

Download

Comments

costantine.bishota
ELNINO NAKUJA TANZANIAN :
niache nachanganyikiwa mjukuuu wang akili zangu ziko ovess
2026-10-07 04:35:00
3
laurentkabezi
kabezi jau :
Mungu hajawaigi kudanganya alisema hatatuangamiza tena kwa moto au kwa maji
2026-10-06 19:16:25
7
pety.marck
Pety Marck :
Nabii usiniache mimi nipo Tanzania unipitie
2026-10-07 04:52:11
0
miss.lizy8
miss lizy :
Jaman sasa sisi wajawazito je
2026-10-06 20:35:08
1
young.lolo6
young lolo :
mwenyezi mungu turehmu
2026-10-06 19:02:47
1
user3497678614118
evaline mling :
mungu alihahid atakaa kuwaanamiza watu tnaa
2026-10-07 06:59:15
0
hrajah9
hrajah :
amna nabii apo
2026-10-06 18:51:03
1
user7296787448496
Peter :
MUNGU hataangamiza Tena kwa gharika mwanzo 9
2026-10-07 06:13:38
0
baba.ray77
Baba Ray :
na sisi wenye tuko mbali je
2026-10-07 06:38:53
0
tusekileanyelwisy
Tusekile Anyelwisye :
nyie hakun mt anaye ijua sik atakae kuj yesu hat yes alijuii sik ya kuj kwak il mung ndo najua sik mwisho mung hatusaidie
2026-10-06 19:07:41
2
user7531530356246
Veronica :
mmmmh! mungu tusaidie sisi wazambi
2026-10-06 16:32:38
2
brianwangila138
BRIAN WANGILA :
sasa m nko kiambu nitafikaje uko ama aeke branches
2026-10-07 06:39:06
0
tomastomaswillam
tomastomaswillam :
Mungu usiniashe nishike mkono
2026-10-06 18:23:05
1
hanangboy4
hanangboys :
eeh myLod l wanda
2026-10-07 06:25:50
0
janetyohana925
Janet Yohana :
mungu tuhurumie maana bado tunakuzidisha hasira tusamee mungu wangu punguza hasira na gazabu yako utuhurumie mungu wangu tusio kaa tukasali na kuomba huruma yako tunafanya tuyatakayo tusamehe baba🙏
2026-10-07 06:45:10
0
jeniphamathias621
Jenipha Mathias :
Amen
2026-10-07 04:50:26
0
marrycianangufuli
Marryciana Ngufuli :
doooh
2026-10-06 16:30:12
0
baba.ray77
Baba Ray :
tusaidie
2026-10-07 06:39:01
0
user2683051778158
Debra lucas :
aisee haya bhn
2026-10-06 21:15:02
0
p..0510
..#.. :
sasa tutafikaje huko tunataman kufika
2026-10-06 20:44:40
0
winikayoka
love nickson :
lakini mungu alitu ahidi ya kwamba hataiangamiza tena dunia kwa maji wala kwa moto je mungu anaweza kuvunja agano aliloliweka kati ya yeye na nuhu APANA MUNGU NI MTUNZA MAAGANO HAWEZI KUVUNJA AGANO LAKE
2026-10-07 07:45:31
0
zena.mmakonde
zena mmakonde :
mimi sipandi
2026-10-07 04:41:17
0
user8522463148399
hamisi :
ewe mwenyezi mungu unisamehe mimi makosayangu niliyo kukosea
2026-10-06 21:13:29
0
user8111652747456
𝚊𝚛𝚝𝚒𝚜𝚝𝚜 𝚖𝚒𝚌𝚑𝚊𝚎𝚕 :
2026-10-06 20:57:59
0
stellabhoke2
stella bhoke :
jaman asinisahau na mm niko hapa Tanzania
2026-10-06 18:48:33
0
To see more videos from user @safari.zetu.online, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About