wew ni mjumbe wa Yesu kristo ukristo ni neema iliyoletwa na Mungu hakimu ni Mungu pekee piga injili ndugu yng achana na mafarisayo wanaozingatia sheria na usafi wa mwili
2026-10-08 17:14:45
0
martheilungandaya :
🙏🙏🙏🙏
2026-10-06 18:30:59
1
evangelist phoustine khaindi :
mtumishi tuna ishi kwa Imani Na Neema ya Mungu kristo alitukombowa katika laana tuko huru haipaswi kumhukumu mtu yeyote
2026-10-08 19:31:35
0
alpherulikaye :
Nakuelewa vizuri mwalimu, Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu.
2026-10-07 18:52:22
0
nicholas mumo :
tafadhali nizaidie kuelewa this verses James 2:14,
2026-10-07 11:48:13
0
fredrick..gitonga1 :
je yafaa kuvaa bibaya ata kama tuko chini ya neema
2026-10-06 19:55:16
1
Stella Bhoke :
🥰🥰🥰🙏🙏🙏
2026-10-06 15:57:24
1
Its chosen🦋🎀 :
@Jojo stylish👗🎀✨️❤️🔥
2026-10-06 13:56:31
0
To see more videos from user @rev.adonijah1, please go to the Tikwm
homepage.