@african_boy47: #tegasikio #maisha #swahilitiktok

African_Boy
African_Boy
Open In TikTok:
Region: US
Tuesday 06 October 2026 14:01:45 GMT
65829
3865
100
239

Music

Download

Comments

chibigas3
Mkata switch ⚡ #04 :
mwandishi unakazi ya kusema Ooookay[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-08 22:10:36
0
aciza.zihalirwa
Aciza Zihalirwa :
Okayyyy
2026-10-10 19:41:25
0
bigstonebigstone2
king kayo :
alie kimbia. vita n lucifer
2026-10-06 19:57:23
2
salim_s_iddy
salim_s_iddy :
@chief chionda
2026-10-06 20:26:35
4
isakamwaipaja
@Shazaki :
hahahaha ndo shida ya kutochunguza vyanzo vya taharifa chukua dhahabu zote duniani hazi zidi ata vimondo vikubwa angani! hio unayo SEMA ni nadharia Salio propose Zacharia sitchin mwaka 1975 ungejua kua vimondo vina thamani ya matrilion ndani yake basi hao Anunaki walikua hawana haja ya kuja duniani sababu space nikubwa kuliko chochote wachoweza imagine
2026-10-07 11:17:10
2
mahanga36
FBI_MAHANGA ♓ :
move name please.
2026-10-08 21:12:24
0
...africanboy
AfricanBoy :
jamn tusome
2026-10-07 13:03:04
0
kulwa.biseko.bene
Kulwa biseko benedictor :
amina
2026-10-06 16:59:06
1
user9100313617677
sb :
Huyu katokea wapi
2026-10-06 20:17:46
2
masalulwino8
Masalu lwino :
kumbe dhahabu niyakitambo
2026-10-07 04:45:00
0
prosperjn
Prosper, JN ✅️ :
Hii story ya Anunaki imesimuliwa na wazungu, hata hivyo hawakuwa na taarifa za kutosha kwahiyo sehemu kubwa ya hii story imetengenezwa tu na haina ukweli. Issue ya Miungu ipo kweli ambapo kuna sehemu wameitwa Miungu (Isis-Ra-el) na watoto wao wanatambulika kama "Wana wa Israeli au wana wa Mungu", Pia kuna sehemu wameitwa malaika (mfano: Gabri-el=Mungu-Gabri, Uri-el=Mungu-Uri, n.k) Kuhusu Marekani kupigwa Nuclear imetabiriwa kwenye Ufunuo wa Yohana. Pyramid zilitumika kama portal kupeleka roho kwenye sayari ya Nebiru (Sirius star).
2026-10-07 06:45:05
0
chferitharick
MUNGU KWANZA ❤️‍🩹🙏🦁 :
ukisoma MWANZO
2026-10-07 10:14:14
1
abasi.kwetumbaly
Abasi Kwetumbaly :
daaa nachoka mm
2026-10-06 16:56:04
0
mizbangers
mizbanger_tz :
watu wengi tunajua vita vya Kwanza vya dunia ni vile vya wazungu sababu viliwekwa kwenye vitabu lkn hivyo sio vita vya Kwanza watu wanahisi teknolojia ya nyuklia ni hizi tunazo sikia saiv kumbe hapana vitu vingi vilifichwa kutokana na Mvua kubwa ilionyesha ulimwenguni kutoka era za Aquarius kuja Zama za pierces hapa ndipo vizazi vya mijusi vilikuja na Zama za utumwa
2026-10-07 07:15:15
1
geologicmath04.cm
math-Guru23€ :
mm namuelewa sna
2026-10-06 22:47:17
1
rotich648
Leonardhkem :
ukatoa wapi hii
2026-10-07 06:50:14
0
qt9132
Q❤T :
Nashukuru kuona mwafrika mwenzangu ako na historia iliyofichwa
2026-10-07 16:57:33
1
chferitharick
MUNGU KWANZA ❤️‍🩹🙏🦁 :
CREAT OF WRLD YAN MUNGU MUUMBA MBINGU NA ARDH
2026-10-07 10:15:09
1
startz255
@startz⭐ :
jamani kama kuna mtu anajua icho kitabu anipe jamn au kinauzwa wapi
2026-10-07 11:52:12
1
sitabiki2
dalali jafarimwanza :
nachoka mm
2026-10-06 19:18:55
1
kioko.musyoki8
Kindu wandunia :
ndunia inaitwa planet iliamu
2026-10-07 03:26:03
1
user8181954743938
user8181954743938 :
kama movie ya ridic vile
2026-10-06 20:31:55
2
henrymotorhead
Henrymotorhead(lamaar) :
Monoatomic gold by anunaki
2026-10-07 05:27:18
1
ronanyakundi
Ronald :
wewe haioni hiyo ni Hadith tu?
2026-10-09 03:36:35
0
user359167209597660
user359167209597660 :
il est tres cultive c Mr Monsieur
2026-10-09 09:33:46
0
To see more videos from user @african_boy47, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About