Mimi nilimpenda sana yule dada nilipokuja kugundua ana trauma na ni kazi sana kuachilia niliamua kumuacha japokuwa niliumia na ilikuwa ni mara yangu ya kwanza Mimi kulia Kwa ajili ya mwanamke japo niliamua Mimi kumuacha japo siishi kumuombea mema popote aendako ila daaah😔😔😔
2026-10-06 18:11:17
2
Luvboy_Msafi :
mbona kama unasema ninachopitia sahivi💔💔💔
2026-10-07 02:32:24
5
jeruw de Boru :
usiombe umpate atakutesa sanaa
2026-10-10 09:08:06
3
gifti❤️ :
nikwli kabsi
2026-10-06 17:25:10
0
Kingkiller :
fact sister
2026-10-07 13:06:00
0
Mgisha Mboyelwa :
kinywa chako kimejaa maneno ya busara sana nakupendaje 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-10-07 16:02:21
1
yummyaquarius :
Huyoo n mm kabisaaa
2026-10-11 10:33:24
0
Da mamu :
Ni kweli
2026-10-11 19:07:41
0
SB COBRA💥😡 :
amn jpya apo
2026-10-09 10:25:11
0
zwdle :
kweli kbs
2026-10-07 21:31:11
0
Chosen one :
uko vizuri dadaangu
2026-10-07 12:45:07
0
BABA KIM 💫🏆 :
ni kweli hii kitu ilinitesa sana nikifanya zuri ni baya na baya ndio usiseme ni baya kabisa zaidi............
2026-10-07 22:38:08
0
Cnn :
madam acha 🤣🤣🤣🤣
2026-10-06 19:28:38
0
ndibatomhughuta :
uko sawa ila mi Niko malambili yake.
2026-10-06 20:19:03
0
the shirani black man :
TUSAIDIE MTU MWENYE MIGOGORO YA NAFSI ANA KUAJE NIAMBIE TUMJUE
2026-10-06 20:11:26
0
dadacyber :
Na wengi wana hiyo shida. Hawajapona majeraha ya nyuma huko.
2026-10-08 07:32:04
0
muhammed Othman :
[Twin hearts][Twin hearts][Twin hearts]
2026-10-06 14:29:39
1
NEXT BILLIONAIRE :
🥰🥰🥰
2026-10-06 15:10:32
1
big bao :
🥰🥰🥰
2026-10-06 16:37:22
1
PORI 🌲🌲🌳🪴🌴 :
💯✅
2026-10-08 02:07:55
0
Uzuri Collection :
😤😤
2026-10-08 10:50:27
0
Mkulungwa :
👍👍
2026-10-07 21:33:02
0
To see more videos from user @rosezegega, please go to the Tikwm
homepage.