@dianalinga: Ni Mara yako ya kwanza kununua gari ? Sikiliza aya machache kbla ya hujanunua Gari …. I love driving and I have experience a little bit more about cars
uchumi wa mafuta tuu, kama unataka gari fulani na hela unayo nunua kuna majuto ukinunua kitu sababu ety uchumi, kuna raha kuendesha unachokipenda
2026-10-07 03:47:22
9
kakachone :
Gari ambayo ukiuza ni sawa na talaka ya kikristo; kama ilivyo ngumu kwa talaka na hilo gari "haurusiwi" kuliuza maana haliuziki kirahisi; na isivyoruhusiwa kuoa/olewa baada ya talaka gari nalo ukiliuza "hautaruhusiwa" kununua gari nyingine maana hiyo hela utakayo pata haitatosha; na inavyotakiwa kugawana mali kwenye talaka basi hata gari nalo ukiliuza mnagawana thamani😭😭
2026-10-07 08:21:18
1
BabaJerry :
Buy toyota only
2026-10-07 03:30:28
5
erric kisigo :
naomba mungu siku moja nimiliki gari ninaimani nitamiliki ngoja nijenge kwanza mungu nisaidie naomba na naomba tena siku nidrive ya kwangu
2026-10-07 05:48:53
3
madame _Lee :
kuna hii toyota dream car yangu sasa uwiiii🥰🥰
2026-10-07 07:00:08
2
bruno kafuku :
sense over sentiment 🤔🤔
2026-10-07 06:04:48
0
Maria💫 :
Naomba kuuliza Mazid Verisa je ni
2026-10-06 21:55:46
5
Frida❤️🔥 :
Nitakutafuta dada🥺
2026-10-06 23:15:32
1
Mimi more :
huniambii kitu kuhusu Crown 👑
2026-10-07 08:00:32
0
Heance Banda master :
nakuelewa sana
2026-10-07 08:13:02
0
Beingmina :
Video imekuja wakati muafaka
2026-10-07 07:08:04
0
ᥫᩣMama :
Outlander?? ni chaguo sahihi
2026-10-07 04:16:44
0
Catherine PM :
mm ndo sina ninachokijua zaidi ya Passo na vits
2026-10-07 07:46:05
0
nabiiimtoto :
Toyota noha vox vip dada
2026-10-07 01:04:29
0
Mimu :
Mi natamani kununua Mistubish RVR unanishauri nini dada.
2026-10-07 05:14:11
0
Sophy :
nataman sana kuwa na gari. shida sasa hizo mamilioni[Sad]
2026-10-07 03:14:44
0
MISHY_🌸🌷 :
jaman uwe unaandaa vipind kama hv kwa sisi madriver watarajiwa😁
2026-10-07 05:06:23
0
mama Girls :
Mungu baba nitaishi na hiki kipasso changu mpaka kieleweke 😂😂
2026-10-06 19:10:22
1
Dr paschal :
Toyota
2026-10-06 16:05:27
0
stevn423 :
Elimu nzuri sanaa. kam mtu haja kuelewa na apo ndo bas tena🔥🔥
2026-10-07 00:31:18
1
Emmaxx :
ukweli sana
2026-10-07 08:23:28
0
Faa❤️ :
Ist🥰
2026-10-07 08:27:41
0
To see more videos from user @dianalinga, please go to the Tikwm
homepage.