@bbcnewsswahili: Kuingia kwenye mitaro iliyojaa vumbi, plastiki na takataka bila kulipwa hata sarafu moja, sio kazi inayopendwa na wengi. Lakini kwa Irene Mmbaga @missirene300 binti mwenye umri wa miaka 20 mkazi wa Dar es Salaam, hii ndiyo furaha na fahari yake. Akiongozwa na msukumo kutoka kwa mama yake, Irene amejitolea kutunza mazingira nchini Tanzania tangu utotoni, na kuchapisha maudhui yake katika mitandao ya kijamii. Amezungumza na @marthasaranga katika waridi wa BBC. #bbcswahili #foryou #fyp #waridiwabbc
Asante sana BBC kwa mahojiano mazuri, nashukuru sana na hii ni kubwa sana, nimeamua kufanya hivi kuonesha kwamba inawezekena, tukiamua kuchukua hatua tunaweza, mazingira ni ya kwetu sio ya mtu, sijakubali kusikia sauti za kukatishwa tamaa ninaendelea na ninasonga mbele na ninazidi kuahidi nitakuwa mstari wa mbele kuhamasiha kila mtu apende mazingira na kufanya usafi....Tukiamua Tunaweza, Afya ni yetu tujilinde kwa kufanya usafi, Mimi Jukumu langu ni kuhamasisha kufanya usafi kwa vitendo ndio maana nachukua hatua kuonesha wanajamii kuwa inawezekana tukiamua, TANZANIA NI YANGU NA YAKO, Hatuna TANZANIA nyingine Nawapenda Watanzania wote
2026-10-07 04:23:46
145
SKANka :
kana sifaa
2026-10-06 21:35:47
65
Madam Koku :
😍Keep going
2026-10-06 21:48:29
2
FEMONE SHOP🙏🙏 :
Hakuna chombo chochote cha habari cha tz kilichomhoji mpk BBC ila hii bongo kweli bahati mbaya
2026-10-07 06:47:02
53
thinker_tz :
ccm wakiiona hii nao eti watajifanya wanamshukuru dokta samia kumuhamasisha irene🤣
2026-10-06 22:14:11
58
Masillago_🎨🧵💰 :
Vaa mask jamn.. kuna cancer
2026-10-07 04:16:56
7
last born💞 :
pamoja na yote Ccm bado wamejikausha
2026-10-07 04:22:53
15
Aila❤️❤️ :
me siwezi bhn weee nisemeni tu an siweziiiiiiiiii 😂😂😂
2026-10-07 07:43:57
9
Amina Kazigo :
WAISLAM WENZANG TUSIACHE SWALA WAISLAM
2026-10-07 09:47:37
8
Julet Jane :
god bless you alot
2026-10-07 04:57:41
0
mama amilen❤️ :
mazingira yanakutunza Irene???🥺
2026-10-07 08:48:08
9
Stephy :
First priority to this Girl please My Government 🔥🥰
2026-10-07 05:44:06
1
aloycemartine :
Sema Ajira sikuhizi zinatafutwa kimkakati sana 🤣🤣🤣🤣
haya sasa serikali ikuone ikuajiri 🤣🤣🤣
2026-10-07 10:09:14
9
julyaahChogga :
naomba mawasiliano yake tuungane 😂😂
2026-10-07 15:11:32
1
Mwegelo@caroline :
Irene Mbaga hongera☺️☺️😊😊
2026-10-07 05:47:43
3
Kobe traveler. :
hatimae mmemfikia na huyu🔥🔥
2026-10-06 21:03:18
7
Kibonge_photographer :
Mmekuwa wengi wa kujitolea kusafisha mazingira
2026-10-06 23:19:35
2
Anne :
media uchwara wanazungumzia story za harmonize tu😏
2026-10-07 07:51:53
2
noah.com :
safi dada,iko siku mwanga wa neema utakuwangazia ktk maisha yako,usafi ni afya,jitahidi kufanya usafi kwa kuelimisha jamii zetu,maana jamii zetu zinapuuza sana ktk suala la kufanya usafi.
2026-10-07 03:06:53
0
Buthaynah :
Anapaswa apewe ubalozi wa kuhamasisha usafi mitaani uyu dada kiukwel
2026-10-07 05:20:54
0
Madigison :
huyu binti ana kitu Waziri wa mazingira where are you
2026-10-07 03:36:08
2
ghosttravis7 :
Nilijua tu
2026-10-06 21:56:37
1
MTENGWA. :
Ukitaka kufanikiwa Tafuta njia yako ambayo unaweza kupita mwenyewe bila kutojutia
2026-10-07 09:00:19
1
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.