[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]umesema kweli kabisa
2026-10-07 05:05:09
0
Salima Kawaya :
True story Ameen
2026-10-07 02:16:18
0
zabrah the peace :
[Tears of joy][Tears of joy] ila mwenyekit umetisha
2026-10-06 19:11:59
0
Miriam hatun :
malawi
2026-10-06 20:17:30
0
man_athu :
sitii neno maana nimehangaika mpka nimeamua niache
2026-10-06 16:48:34
11
Mam_love13140 :
mwaka mzima sijapata hati🤣🤣🤣🤣
2026-10-06 17:50:09
4
Six Misiwa jr :
mwenyeki nakukubali jombaaahh
2026-10-06 15:12:58
11
Black Pearl :
ifike pahala hakuna kulipia ardhi kama haina hati
2026-10-06 19:05:11
2
TheOrthoLift :
Kuna mtumishi yuko ktk hizo hizo ofisi za kutoa Hati, aliniambia yeye mwenye ameshindwa kufatilia, eneo lake halina hati!
2026-10-07 04:12:31
1
RUHEGANGU :
eeeeee!!!
2026-10-06 17:18:19
1
shady :
yaaani daaaaah
2026-10-06 16:25:51
2
baba yenu hap. :
wewe unaongega ukweli mara zote. hongera.
2026-10-06 16:23:54
6
rahma :
Nikweli kabisa yan nimateso
2026-10-06 17:07:20
6
❤️Babyfaith❤️ :
😂😂😂 inatoshaaa
2026-10-06 15:17:26
5
Jeremiah Blazio :
kwenye katiba mpya waruke sarakasi zote ila ardhi itoke serikali kuu irudi kwa wananchi, haiwezekani watu wanafukuzwa kwenye ardhi yao kama wanyama eti uwekezaji usiomnufaisha hata mwananchi wa eneo husika.
2026-10-06 17:07:40
4
hafidhi :
huyo ndo mwenyekiti wangu
2026-10-06 15:11:14
6
BALAHAU :
mimi nimeacha
2026-10-06 18:05:07
1
Munezero Ruvumbagu :
Sina neno la kuongeza
Umemaliza 💪💪💪
2026-10-06 15:32:13
5
SIMON :
2026-10-06 16:43:02
2
amanikatala :
Kutafuta hati ni kama unatafuta kwenda mbinguni...
2026-10-06 17:29:03
3
Saidi Mabula :
Yaani ni huzuni kwa kweli
2026-10-06 15:55:17
3
jonathan reonard :
daaah mwenyekiti kwenye ubora
2026-10-06 15:20:55
3
jamesmbwambo597 :
hao ndio wanafanya migoforo ya wakulima na wafugaji haiishi. Alafu sheria na katiba mpya inatakiwa ardhi iwe mali ya mwananchi kama ulaya.
2026-10-06 16:44:23
1
chifupromise :
hii inchi rushwa ipo kiwango cha juu sana bila kutoa chochote kitu utapata tabu sana
2026-10-06 18:22:19
1
yuzoo mwamba77 :
mwenyekiti ulijuaje🤣🤣
2026-10-06 17:22:49
1
To see more videos from user @mwenyekiticomedian, please go to the Tikwm
homepage.