@rahma_daudofficial: M/Mungu akampe kila mja hitaji la moyo wake inshaallah ila tujitahidi pia kuzitafuta raha na faraja za ndani yetu, Hilo ni kubwa zaidi huku tukipunguza matarajio pia makubwa kutoka kwa watu na tuzielekeze akili zetu kwa Mungu. Happy belated new month to you all. #foryou #fyp #Lifestyle #viral #rahmafacebeat

𝐑𝐀𝐇𝐌𝐀 𝐃𝐀𝐔𝐃
𝐑𝐀𝐇𝐌𝐀 𝐃𝐀𝐔𝐃
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 06 October 2026 15:40:45 GMT
109999
9900
214
843

Music

Download

Comments

rukshlyboga
Rukshly🪬🌹💞Boga💥🥰 :
alafu sasa ukimuitaji wakati wowote yupo kwa ajili yakoo😂😂
2026-10-06 15:48:13
75
mimahbeatypoint
MIMAH🌸 :
Da rahma unafikiriaga nn lakin🙌🏼😂
2026-10-06 20:32:40
7
princesssabrinasa0
@Sabrina said :
tuliachana ila ikifikia kipindi nipo nabaipola yakutosha nampigia
2026-10-07 03:35:21
13
asantee58
Asantee :
Ni mama yangu 2
2026-10-06 23:40:38
7
aneth.msuya
Aneth Msuya :
Ameeeeeeeeen jamani mimi penda huyu mdada anamaneno kintu haswaaaa👌
2026-10-06 19:17:14
6
mrsabby55
mrsabby55 :
Anh mie mume wangu jmn ananielewa front of people’s am very innocent 😇 ila sas kumbe chenga kbs mm😂😂😂😂😂😂🥰🥰🥰nampenda vip
2026-10-06 15:48:17
12
winnyelias4
winn4real🏵️💕 :
Mala paaaa 😂😂😂nae anaungana na uchz wakoo nakupenda dada
2026-10-06 15:44:49
10
careengrecious
Careen Grecious :
nakupenda ww dada jaman
2026-10-07 15:34:51
3
de.aston1
Aste🌟✨ :
haswaaaa🥰🥰🥰
2026-10-08 07:52:54
1
mwanaisha.ally01
aisha :
mama yangu uyo anasemaga nimezaa mento ila najivunia kukuzaa mwanangu ananielewa balaa[Heartwarming][Tears of joy]
2026-10-06 23:51:08
7
user4591003819166
innosenti taifa tweneshe :
nakupenda sana dada angu
2026-10-07 07:13:28
1
user4900880242819
BMW :
nashukuru na hajali husema bila uchizi wangu hawezi ishi nazo mbali
2026-10-06 16:45:56
5
user534511088402
abduly :
njoo nikupende bas
2026-10-08 12:21:13
1
monalisa94439
Monalisa 😍 :
Ameni
2026-10-08 06:51:08
1
tunu.amir2
tunu amir :
inshallah
2026-10-07 21:00:12
1
captain.omy
Captain omy :
kweli kabsa
2026-10-08 05:45:42
1
zainabu.ramadhan48
Zainabu Ramadhan :
🥰🥰🥰kweli
2026-10-08 07:47:10
1
hamza.mapilajunio
Hamza MapilaJuniour :
🥰
2026-10-07 07:57:58
2
imanijuma610
IMANI JUMA :
wenye midomo iyoo ndo ugonjwa mkubwa sana ntapona lin sjui
2026-10-09 20:36:27
1
cocobella973
cocobella973 :
ame
2026-10-07 07:16:48
1
mumbyanca
mumbyanca255 :
Nakupenda vipee 🥰
2026-10-07 06:30:24
3
zahrasuu1
user8595427619699 :
Amiin Yarabb
2026-10-07 07:51:19
1
user5739261695046
973442 :
B.ap
2026-10-07 17:32:43
1
dyma.montana
dyma montana :
🙏amina
2026-10-07 06:52:26
1
suchzango
such fake love :
wow gorgeous
2026-10-07 09:47:29
1
To see more videos from user @rahma_daudofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About