@عبدالمتن:Chanzo ni hiki:
Imamu Ahmad bin hanbali hakua anatoa fatwa kwa watu wote alikua anamshauri mmoja aitwae ishaq bin hassan ambae mke wake alikufa na kumuachia mtoto mtoto mdog yatima.Ishaq akamwandikia imamu Ahmad "Nioe nani"Imamu Ahmad akamjibu "Tazawwaj bikran wa-hrisi an la yakuna lahu ummu" Maana yake halisi kwa muktadha huo 1 -Oa bikra-kwasababu bikra atakua na mapenz mengi kwa mtot wako yatima 2- Asiwe na mama aliye hai, kwasababu msichana ambae mama yake amekufa nae ni yatima, ataelewa uchungu wa mtoto wako yatima. Yatima humhurumia yatima mwenzake zaidi atampa mtoto huyo mapenz kama mama yake mzazi*
2026-10-07 17:32:29
46
Maryam Kulastara :
kwanini awe hana mama ,natakabsababu
2026-10-06 17:29:21
3
Hab asham🥰 :
had wazaz wanaombewa wafe 😟🥹
2026-10-06 19:16:08
12
Mama Nu²🫂👣 :
hii dini inanichanganya San 😂 au kwa vile sijasoma maan Kuna mambo yananiumiza kichwa mno nashindwa kuelewa
2026-10-07 17:21:11
1
MOH.SAIBARI :
NYIE MNAONGEA TU HUYO BIKRA UTAMPATA WAPI SASAHV
2026-10-07 18:48:02
1
@first born🤑 :
inshaAllah kama hujaoa au unampango wa kuongeza Allah 🤲 akufanyie wepesi umpate wa ivo,,, na arahisishe zaidi siku moja upate mabint zako waolewe haliyakua hawana Mama
2026-10-07 20:14:44
4
çĥ🦋mêë⚘️řåĥ🦋💋💞 :
upendo unatoka moyoni na sio 7b mtu fulani han ktu kun wat wanawazaz wote na wanaupend wa dhat na wengin,so kuw bikra haina maan ndoo mtu atakuw na upend wa dhat kw kil yatima upendo sio km tabia ni ktu kinachoot moyon na niasil ya mtu,hat km mwanamk sio bikra haina maan han upend so siwez kumuombea mzaz wang afe,kunipend ni chafuo lako na kunichukia ni uwamuz wako LONG LIVE MY MOMMY AND LOVE ❤️YOU
2026-10-07 17:26:25
2
💞pretty hussein💞 :
mung mpe mama ang maixha maref awez kuona ndoa yng inxhaallak[Pray]
2026-10-07 19:15:01
1
lovely teasey❤️ :
Daaah… hatari
2026-10-07 20:27:02
0
Kibz ruu :
yalinikuta
2026-10-07 17:53:51
0
FALNAHYA :
akah
2026-10-08 06:45:50
0
Comfort 💖 :
jitunzen kun umuhim wake m2 asikupoteze kwa mtazamo wake ila kam una hofu ya Mungu utaelew nnachosem hatakam umeshaipotez Julia fany toba na nnajua n k2 knachokuumz san
2026-10-07 17:32:04
2
new_kiarah2 :
Mmmh
2026-10-07 16:46:22
1
siah :
jaman mama ade tena
2026-10-07 11:16:32
1
Mamy iyaan :
kwanini tena jaman
2026-10-06 18:33:08
0
engineer :
mh na tulonao je
2026-10-07 13:55:11
1
kambaa :
jazakallah khair
2026-10-07 21:04:24
0
abai8444 :
Akhi musipende kutoa maana za juu juu tu mutaupoteza umma toa ufafanuzi wa Kila kitu wa full story musipende mambo yanayoshangaza mupate watu waseme na WA comment ☹️☹️☹️
2026-10-08 04:06:49
0
Dyda :
Mama wafe au
2026-10-07 16:56:23
0
Zasha Collection :
astaghfirullah
2026-10-07 15:17:27
0
Empress fashion :
Mashaallah
2026-10-07 13:34:45
0
Being zaynab💫 :
hii sijapenda kwann mama asiwe hai😁😁😁😁
2026-10-08 09:31:40
0
it's me :
inshallah nitapata mume 🙏🙏 hila mama angu yupo sana tu nife mm abaki yeye
2026-10-07 18:58:16
1
Binti hamisi lux🌺 :
natamn niwe na voice note, hv ww jmn ukiwa unaandik content jaribu kuwek kitu vzur watu waekew, usweke taharuk ktk dini...mtume (s.a.w.a) alisema one mabikra Kwan wanauzaz mwing na mapenz ya kwel, ww nhyo alimshaur tu kutokana n Hal y mtt wake Ili apate upendo bas ..ww content Yako umefany km kuwa ni Sheria..mtufundishe vzur so unaandik tu il upate like
2026-10-07 15:48:15
2
𝑩𝒊𝒏𝒕 𝑺𝒂𝒃𝒓𝒊🕊 :
Mwawatamani mabikra...😂Mzinifu ataowa mzinifu mwenzie na muumini ataowa muumini mwenzie.. maneno ya alotuumba
2026-10-07 16:56:49
0
To see more videos from user @2abuukhairaty, please go to the Tikwm
homepage.