@dr_daniel_md: Je, mtu anaweza kuwa na HIV lakini kipimo kikaonyesha hana HIV? 🤔 Katika video hii nimeelezea kuhusu FALSE NEGATIVE kwenye vipimo vya HIV — hali ambapo mtu mwenye maambukizi anaweza kupata majibu ya negative. Nimeelezea kwa lugha rahisi: 🧪 False negative ni nini? ⏳ Window period ina nafasi gani? 🔬 Ni wakati gani kipimo kinaweza kushindwa kugundua maambukizi? 🔁 Kwa nini na lini mtu anaweza kuhitaji kurudia kipimo? Kumbuka: Negative result si mara zote ina maana hakuna HIV, hasa kama kipimo kimefanyika mapema baada ya exposure. Kwa ushauri sahihi kuhusu HIV testing, fika kituo cha afya. #HIV #FalseNegative #HIVTesting #Afya #DrDaniel