@tinnerhealth: #drtinner

Tinner+255679282874/0744125275
Tinner+255679282874/0744125275
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 06 October 2026 16:02:57 GMT
209119
8012
163
1193

Music

Download

Comments

shiz_minah
Shiz_Minah :
Yaani tangu siku ya leo kuingia TikTok ndo nipata kitu useful
2026-10-06 18:22:15
162
salomeelicyhweuli
Salome Elicy Hweuli :
nifundishe na mm hizo thabuni nijue
2026-10-06 17:17:14
23
acquin_us
Acquin _us :
tuone picha ya kopo la vinegar nisije tumia ya kupikia
2026-10-06 23:18:32
11
swagiajohn
💕ma gianna❤💘 :
kama hauna fridge
2026-10-07 04:32:05
2
user4168080670053
Zuhuraah🦋🐦‍⬛🦜 :
asante
2026-10-07 13:23:14
0
bihebwasaiko
bihebwasaiko :
huu uzito umetokana nanini maana mwanzo jagi halikujaa kuna kitu gani umeongea nimaji au nini
2026-10-06 17:41:13
12
baby_venom_official
⚜️فاطمة⚜️ :
Sasa ukishaitoa kwenye friza haitoyayuka ama umemaanisha wapi uliposema kuihifadhi
2026-10-06 20:07:47
4
mussfat7
mussfat :
kwahiyo maji yanaganda
2026-10-06 17:31:52
3
redpink530
Taurus Glow by Nuru ♉✨🌸🌸💖 :
hii video imenipa I dea nitakinukisha mtaani😅😅😅😅
2026-10-07 10:11:24
12
purplebee377
Purplebee :
sabun ya magad mbn magad hujaweka au mm nd cjui
2026-10-07 05:52:38
5
maimuna.shabani33
Maimuna shabani :
Asati sana kama hauna blender unafanya aje
2026-10-06 19:58:48
1
user9samayra
triple H _samayra cosmetics :
unaweka kwenye frij au mahali pa kawaida?
2026-10-06 17:02:17
19
amandus_deus7
amandus_deus7 :
nimekaa chumvi badala ya sukari je?
2026-10-07 10:49:00
1
judithkimaro383
judithkimaro383 :
unatumia sabuni yoyote
2026-10-07 13:57:22
0
user859950631555
mwana :
😁 Asante
2026-10-06 18:44:10
0
salum_salehe_offcial
🇸 🇦 🇱 🇺 🇲 :
kwaiyo maji yanaganda😅 mbona hii ni kali ya mwaka😂
2026-10-07 21:52:46
1
user227906826
Sabrina @ :
asanty mu
2026-10-07 17:30:36
1
mrs_abdully
RE_CUTE :
Ila haijafanana jamani inatakiwa iwe na mawingu mawingu ila 👏👏👏
2026-10-06 20:22:47
0
user9samayra
triple H _samayra cosmetics :
naweza kutumia mchezo wa jamaa,na vip kuhusu rangi? au sio lazima?maana naona sabuni za magad zinakuwa na mawimb ya blue
2026-10-07 14:13:16
2
isarehma
mbugu girl 🥰✅💞🔥 :
iyo ilikua magadi sio
2026-10-07 11:42:05
2
user11637824772296
Monica T.G :
aina gani ya sabuni ys unga tafadhali
2026-10-07 05:22:57
2
user2632430890952
Winnie 🌼 :
Wengine achen tuendelee kuwachangiaaa tu tuwe watej tu 😂
2026-10-07 11:25:10
2
salma.donne
@salma donne :
nitaleta mlejesho hapa hapa
2026-10-06 19:14:16
1
mishichegge
mimi_collection22♒️ :
hii sabunibya blue napata wapi
2026-10-06 16:55:07
4
sabrasalum65gmail
Princess fashion and gift 🎁 :
Naweza tumia sabuni yeyete.
2026-10-07 09:17:48
1
To see more videos from user @tinnerhealth, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About