@prince40288: ✍️✍️

The_Prince✅
The_Prince✅
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 06 October 2026 16:06:27 GMT
82868
3726
260
107

Music

Download

Comments

user4861669176985
user4861669176985 :
That is his own opinion.God used to visit Adam and Eve when they were naked and had fellowship with them
2026-10-07 18:25:33
1
emmanueltza1
Emmanuel the controller :
Hebrews 4:13 (KJV): “Neither is there any creature that is not manifest in his sight: but all things are naked and opened unto the eyes of him with whom we have to do.”
2026-10-07 18:01:38
1
markachapa946
Mark Achapa :
that's human mentality..with or without clothes there is no difference in the eyes of God
2026-10-07 12:16:10
2
mwanas0
mwa nas :
Bible verse?
2026-10-07 14:06:38
0
arapsimiyu7
arapsimiyu :
christ dwells in us all the time.Talk to him.anytime, anywhere,in any state.we are no longer living under the York of slavery.
2026-10-07 19:58:25
0
fey3607
fey :
mm nilishawahi pitia changamoto niliomba sana lakini sikupata jibu siku moja nikaamka usiku saa9 usiku nikavua nguo zote nikaoga nikapiga magoti nikamlilia Mungu sana nikasema baba leo nakuja mbele zako nikiwa sina nguo kama vile siku ya kwanza ulivyonileta Duniani😭😭😭😭😭na huwezi amini Mungu alinitoa kwenye hiyo dhiki 😭🙏🙏🙏
2026-10-07 07:12:52
42
user2310152736157
Esther :
asante
2026-10-07 18:33:18
0
officialgee58
officialgee💕❤️ :
Mimi nikiwa naomba sijavaa kwa heshima naona aibu jaman an naamka navaa Nguo Ndio naomba 🥰🥰
2026-10-07 12:43:51
10
janee1872
Janee :
kuna muda najikuta tu nasal na niko bafun sa itakuwaje,,ukiwa mtu wa maomb kuna muda roho yenyewe inaomba popote,
2026-10-07 18:07:14
7
prince40288
The_Prince✅ :
NIWAJIBU WOTE KWA PAMOJA, AU NIWATOLEE MFANO WOTE KWA PAMOJA. 👇👇 Hebu tujiulize swali moja kwa mfano wa kawaida tu. Mama yako ndiye aliyekuzaa, amekuogesha ukiwa mdogo, amekuona ukiwa uchi na hata kukufutia uchafu. Lakini leo umekua, una uwezo wa kuvaa nguo, je, unaweza kwenda mbele yake ukiwa uchi kwa sababu tu “tayari ameshawahi kukuona uchi na ndiye aliyekulea”?. Hapana. Sio kwamba mama hajui mwili wako, bali ni kwa sababu kadiri unavyokua, heshima na staha vinaongezeka. Ndivyo nilivyokuwa nalenga kwenye ujumbe wangu. Sijasema Mungu hawezi kusikia maombi ya mtu akiwa uchi. Mungu anaweza kusikia popote na katika hali yoyote. Hoja yangu ni kwamba kama una uwezo wa kuvaa, kwa nini uchague kutokujisitiri unapokuwa katika ibada? Ni suala la heshima, staha na unyenyekevu mbele za Mungu..✍️
2026-10-07 12:11:22
9
kylacleophas816
cool Girl :
kwa hiyo nikiwa uchi Mungu hawezi kunisaidia?? em acha hizo Mungu si mwanadamu kwamba anatamaa kama mwanadamu
2026-10-07 10:53:13
5
mnada_tech_
MNADA_TECH_ :
Mimi kila siku usiku nasali kitumbo wazi na MUNGU ananisikia na ananijibi, Mungu haitaji mbwembwe ni imani tu na unasali vipi..ni DM nkufundishe imani ni nini katika kuongea na Mungu
2026-10-07 13:02:48
2
pachamcgarab
McNelson :
AYUBU ALIVUA NGOU ZOTE AKANYOA NA NYWELE NA ALIMLILIMA MUNGU WAKE AKAMSIKILIZA
2026-10-07 06:31:33
5
janeth.frank7
Janeth Frank :
Me ndo nasali popote hata nikiwa choon na Mung ananijibugi na kunipa maono huko so Kila mtu na uelewag wake
2026-10-07 12:54:56
2
musa.japhet
Mussa Bin Moses :
Kwan Mungu yy alitengenezea mavazi
2026-10-06 19:19:49
1
rachelkimola
Rachel :
cjaelewa unazungumzia uchi gani ningetoa coment ila kama unazungumzia uchi wa mwili nivile umeenda mbele za Mungu na nia yako Ayubu alirarua mavazi yake akaona hitoshi akanyoa na nywele zake akaona haitoshi akasujudu mbele za Mungu na Mungu akamsikiliza
2026-10-07 10:38:03
1
mtitumtitu635
j Hps :
Asante kwa erim
2026-10-06 19:36:22
1
mamdogo02
Mamdogo :
Mungu anaangalia moyo bwana
2026-10-07 12:49:17
0
willsonkazegele
Willson Kazegele :
amina🙏
2026-10-06 19:29:40
1
kelvinbugomb
chekecheaTz :
acha kupotosha watu kasome kitabu Cha kinasamweli kuna wakati wakina daudi walikuwa wanararua mavazi yao wanaomboleza
2026-10-07 14:21:18
0
kibuah
KIBUAH 🇹🇿💣♎🚥👅 :
Ndipo Ayubu akaondoka, akararua vazi lake, na kunyoa kichwa chake; akaanguka chini, akaabudu.......Ayubu 1:20
2026-10-07 08:31:03
4
user8772553034000
godfrey adams :
maombi ni kitu Cha rohoni sana so mungu haangalii muonekano wako mungu anatazama rohoni mwili niwaduniani na roho niyambinguni so Sali popote kwanamna yoyote munguwetu wambingini atapokea kutokana na imaniyako
2026-10-07 18:05:31
2
mkaliamboga77
Maua💕 Mkaliamboga💞 :
au unahofia yesu atadindisha
2026-10-07 11:05:49
1
alfredmusa2295
Alfred Musa (Ukoo wa Yesu) :
Adam and Eve wanasemaje?[Innocent]
2026-10-07 15:35:28
1
comfort_furniture23
comfort white furniture :
ata maandiko yanasema tusimuonee aibu kwann ss tujifunike wakati MUNGU ata ukiwa shimoni tunaamini anakuona
2026-10-07 07:42:55
4
To see more videos from user @prince40288, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About