kanivuta karibu nimempenda ety Leo hii anakuja kuniambia "love is not my priority for now" daah mwili wangu umekufa ganzi ji week sasa
2026-10-08 10:18:13
4
Upendo :
mm muniaxhe nimeaxhwa na mimb jamn
2026-10-22 15:06:01
1
Neema Maheri :
waambie
2026-10-06 18:37:04
1
mtu ni kwao :
Wangu ata haelewi yaingi sikio hili latoka kwa lingine kwaje mbona nikawaida to
2026-10-19 16:28:43
0
blessing :
mungu akupe maicha marefu
2026-10-25 16:55:52
0
Fatuma :
Exactly 💯 💯 💯
2026-10-06 19:05:26
1
blueberry :
bora ata leo ni wanaume😁
2026-10-06 17:00:17
1
Marry Marry :
Nimeipenda hii bro waambie
2026-10-10 09:15:26
1
Georgina Queen 🏵️ :
mungu akubari kakayagu
2026-10-06 19:23:28
2
angeli :
lakin ndoo wanachukua advantage brooo hawajuiii walaaa🥺
2026-10-09 08:40:11
1
elizabethjoseph269 :
bora wewe unajua
2026-10-06 18:48:26
1
divainy :
mi nilimpenda lakin mwishowe akaniambia niache shobo amepata mtu mwingine yan mpaka leo sijawai kua sawa kisaikolojia naomba mungu anisaidie wakat ninao pitia jmn wamekuja weng nimewakataa kwa sababu yake lakin aliamua kunionesha dharau malipo ni hapa hapa ipo siku nae atalia kama ninavyo lia mimi na mungu ambariki uko aliko na uyo mtu wake😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-10-17 20:59:36
1
enfant de Dieu Dorcas :
apa sawa sasa ju Kila mda wanawake tu afathali ume wa kumbuka Wanaume naoo thanks 😊 brother 💯💯💯💯💯💯
2026-10-06 17:35:38
1
G😘💕🚵🚵🚵 :
mwambieee ajue
2026-10-06 18:46:45
1
QUEEN 👑💞🫶 :
Exactly 💯
2026-10-06 16:53:50
1
Neema Shida :
wangu hata afikirii hayo maneneno hata umwabiyeje
2026-10-17 19:29:12
0
Rietty🥀 :
mm nisaidie haniongeleshi sai week ju nilimwambia ukweli
2026-10-17 13:33:47
0
nabulu ❤️❤️ :
brother wangu acha tu kuongea jmn Mimi naumia atar nikumbuka wanaume ambao nimegombana nawo juu naye lkn leo [Crying][Crying] najuta snaa
2026-10-31 07:06:00
0
Rizzy wa north 🦋 :
Bora umesema kaka
2026-10-23 09:46:03
0
Shannar :
Wee kaka kunywa soda Nakuja kulipa. Jmn uwiiii 🙌
2026-10-22 05:28:37
0
cyndy luck :
exactly
2026-10-26 14:23:44
0
la mere :
wengine hayo hamyafikiriy
2026-10-06 20:56:58
0
To see more videos from user @realsmola, please go to the Tikwm
homepage.