Wimbo unaitwa Shebeleza ambao uliimbwa na msanii maarufu katika tathnia ya muziki nchini Africa kusini ambaye ni Joe Mafela aliyekuwa mzawa wa Soweto wimbo ulitoka kati ya mwaka 1995 na 1996 huku ukiwa na dhamira mbili tofauti kwanza alimuimbia mwanamke wa kikongo aliyekuwa anampenda lkn pili aliimba kwa ajili ya ushawishi wa muziki wa South Africa katika huu wimbo lugha iliyotumika ni lugha ya kizulu na hiyo SHEBELEZA NJALO MAMA tafsiri yake kwa kingereza ni KEEP GOING ON MAMA yaani ENDELEA KUSONGA MBELE MAMA lkn mbali na yote hayo wimbo huu ulikuja kutumika katika michuano ya Afcon mwaka 1996 kwa lengo la kuiinua nchi ya South Africa ambayo kwa kpnd hicho ilikuwa inakumbana na mambo ya Apartheid (Ubaguzi wa rangi) lkn mtunzi wa hiyo nyimbo ameshafariki baada ya kupata Ajali ni hvy tu 🙌🏾
2026-10-08 20:49:44
51
Nelson Focas :
asante
2026-10-08 14:22:40
0
Nayd colection 2👗🛍️ :
Nakumbuka graduation ya nursery😂😂 jman na taji la pipi na biscuit
2026-10-08 21:35:22
1
Mary🌹🦋 :
ai kombo laveeeee komboooooh kombo mamaa😂
2026-10-07 16:00:43
6
ïñtīãtõrjb :
huu naupenda vibaya mno ilibidi nitafute lyrics yake na translation yake
2026-10-08 16:00:03
13
Princess 👸 :
Mm nikiimba naona kama naimba kisukuma
2026-10-07 10:18:37
17
mnimbo 3rd :
mtoa post unakosea wimbo wa TAIFA wa Afrika ni TUBONGE ya jose chamelion
2026-10-07 10:49:35
8
Gregory Petro :
huo wimbo una verse line nne tuu
2026-10-08 18:12:41
1
🔰YANGA BINGWA🔰 :
itakua ni wimbo wa taifa au wimbo wa bara la africa
2026-10-08 08:40:43
1
philraise :
jina la wimbo
2026-10-07 06:28:58
3
Ommy Nyzer📱✅️ :
kwan africa ni taifa??😳😳😳😳
2026-10-08 06:39:30
1
g's mom :
unaitwaje
2026-10-08 15:33:34
1
user1712830457674 :
hayati joe mafela
2026-10-07 17:11:28
3
🤎melosa🛍️ :
Unakuta ulihit kama ule nivigumu sana kuishi mbali na nyumban[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-08 20:28:50
0
støñë ßøê👑 :
joe mafela shebeleza
2026-10-07 19:38:44
3
Nelson Focas :
jina la huu wimbo ni gan
2026-10-08 06:17:01
5
irene brand 01 :
shebeleza
2026-10-07 19:15:00
2
Phabian China :
jina la wimbo
2026-10-07 05:02:20
1
giftmbise158 :
so kuujua tu,nauskiliz kila sku😁
2026-10-07 08:01:42
1
Dotto nyalobi (MAHAHA) :
anaitwa Joel mefelo
2026-10-08 06:31:37
1
Fredrick Frey :
joe mafela
2026-10-07 11:33:22
2
Dr.Gidion Jozee :
jina lawimbo
2026-10-07 19:15:13
1
Tami Enock :
hakika master tutafutie maana yake kwa Swahili way master try it master
2026-10-07 12:52:36
2
To see more videos from user @km.global, please go to the Tikwm
homepage.