@allys_550: Mtu anayekutania kwa kukuvua heshima au kukuangusha kisaikolojia anafanya hivyo kwa nia dhabiti. Usichekee dharau zilizovishwa vazi la utani. Weka mipaka imara na linda heshima yako muda wote. 💯🖤 #SwahiliQuotes #deeppositivequotes #TikTokTanzania #fypシ゚ #newtrend