@mwasampetajulious: Biashara kubwa haipaswi kutegemea uwepo wa owner kila siku. ​Kuna tofauti kubwa kati ya kumiliki biashara binafsi na kujenga kampuni ambayo inaweza kuendelea hata wewe usipokuwepo. ​Ukifanya kila kitu kwa jina lako binafsi, mali, mikataba, madeni na hata succession vinaweza kuendelea kukutegemea wewe. ​Lakini kampuni ni legal entity tofauti. ​Inaweza kumiliki assets zake. ​Inaweza kuingia mikataba. ​Inaweza kuwa na shareholders. ​Na ownership inaweza kubadilika bila kulazimika kugawagawa kila asset ya biashara. ​Hii ndiyo sababu baadhi ya kampuni zinaendelea kwa vizazi. ​Founder anaweza kuondoka. ​Shareholders wanaweza kubadilika. ​Lakini kampuni inaendelea. ​Lakini kuna sehemu nyingine muhimu sana tulizungumza kwenye video hii: ​@sir_mwasampeta_julius anasisitiza Sio kila biashara inahitaji kusajili kampuni. ​Kuna biashara ambayo kuanza kama biashara binafsi inaweza kuwa practical zaidi. ​Kuna nyingine kutokana na size yake, risk, succession, deals, tax structure na mahitaji yake ya kisheria, kampuni inaweza kuwa structure inayofaa zaidi. ​Tatizo ni pale entrepreneur anachagua structure kwa sababu tu "kampuni inaonekana professional." ​Biashara nzuri haijengwi kwa appearance. ​Inajengwa kwa systems, structure na maamuzi yanayoendana na biashara unayotaka kujenga. ​Usifikirie tu biashara ya leo. ​Jiulize: ​Biashara hii ikikuwa mara 10, structure niliyonayo leo bado itanibeba? #brela #businessstrategy #corporatelaw #BusinessStrategy #SheriaZaBiashara

Sir. Julius Mwasampeta LL.B.
Sir. Julius Mwasampeta LL.B.
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 06 October 2026 16:48:32 GMT
13385
575
20
64

Music

Download

Comments

chiefmbuke
chiefmbuke@ :
the one and only mwansampeta 🔥🔥🙌
2026-10-07 08:55:29
1
gaspar_barthazar
jb :
This is good bro.💯💯
2026-10-07 04:24:11
2
ngajiro_1
NGAJIRO :
ili somo Leo nimelielewa sana
2026-10-06 19:50:02
4
user237897458
user237897458 :
dah muendelezo please
2026-10-06 23:40:52
2
user1532261753051
mr N'D :
tunaelewa mkuu
2026-10-06 20:28:50
2
store.keeper68
store keeper :
huna nondo kama hii youtube ndefu....ila umetisha bro
2026-10-06 21:56:30
2
nebuye5
nebuye :
Karibu sana Nebuye TV 🌱 Hapa tunashirikiana kukuza kilimo na ufugaji wa kisasa kwa vitendo! Tazama video zetu kwenye YouTube 👉 https://www.youtube.com/@NebuyeTV
2026-10-07 09:19:11
1
bababriana
Baba briana☺️ :
Aiseee mambo ni mengi 😁🙌
2026-10-07 06:02:31
1
hqmodernfurniture
HQ MODERN FURNITURE :
💯💯💯
2026-10-06 19:41:42
3
gambosh_paradise
mp wa gambosh :
[Perfect score][Perfect score][Perfect score]
2026-10-06 17:23:02
2
To see more videos from user @mwasampetajulious, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About