yaan mpira wa tz unaharibiwa saana na kina naniiii!!
2026-10-07 11:12:25
2
Norbeth tz :
Ila engenia else ana halibu sana mpira hatary
2026-10-07 09:13:26
2
homeboy :
hv kirefu cha TFF ni yanga?🤣🤣🤣
2026-10-06 19:27:59
1
ESTHER KATUNZI :
eee wenye D mbili tulishaelewa tangu zimwanza kutangazwa
2026-10-07 18:25:41
0
Hossein yusuph Malenda :
😂 fact
2026-10-07 11:44:57
0
Terrano :
Hawa TFF sasa kwanini wanataka kumuhukumu Novatus kwa kuambiwa kajifanya kaumia alafu kaonekana kwenye club yake anafanya mazoezi nawenzie ??
2026-10-07 18:04:56
0
MohdAlly49.gmal.Com :
Tunamtaka mwamnyeto asipokuwepo nani atachoma 😁😁
2026-10-07 03:38:32
0
PLAN B :
Waliwataja walio walio umia
2026-10-07 06:02:02
0
Alen felix :
mitano tena
2026-10-06 22:01:46
0
Bin-Suleiman-official :
D-2= kwa sababu ya mechi ya tareh 10
2026-10-07 05:50:10
0
12345678 :
kabisa kiongozi
2026-10-06 18:48:45
0
Ngasa1993 :
kumbe mnaelewa ni vile mnajitoa ufaham kwan hujasikia raphinha uko alikua anagomea mech national team
2026-10-07 03:10:20
0
Tucx Man :
swdaktaaaaa
2026-10-06 18:42:13
0
Raws :
That's not fair and you want to suggest upendeleo. swali ni kwa nn TFF walipanga mechi hiyo immediately baada ya ratiba ya FIFA
Viongozi wetu wa TFF ndio wanao leta upendeleo michezoni. Umaskini ni kitu kibaya sana kwa sbb wao ndio wanao haribu mpira nchini. Waziri Makonda unafamika kwa no nonsense hili lingelie kati hili tatitizo likome na lisiwe endelevu.