@mrshadracktz: #creatorsearchinsights #relatablepostideas 😂🔥 NJITI atoa kauli nzito kuhusu kula chakula cha mtu! Anadai ukila hela ya mtu, na wewe unageuka kuwa chakula! 😳🤣 Je, kuna ukweli gani nyuma ya kauli hii au ni utani wa NJITI kama kawaida? 👀😂 #babahapumziki #Njiti #Iringa

Mr Shadrack
Mr Shadrack
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 06 October 2026 17:43:36 GMT
90611
6003
65
132

Music

Download

Comments

bixxtech
Bixx Tech | Gaming Pcs :
Full video tunatoa wapi
2026-10-11 19:36:41
0
iamprincewise
iamprincewise :
Yandani ni ya ndani mbona anatuambia sasa😳😳
2026-10-07 04:06:14
27
kadigaali447
Kadiga Ali :
vipi wewe ulipona?
2026-10-07 09:38:16
0
musajakengo
Musa J. Akeng'o :
Sas ndo umfanyie interview akiwa kasimama😥
2026-10-07 06:35:38
21
ashurachiapo
shuu@ :
Shadrack muwe mnakaaaaa bhanaaaaa
2026-10-07 02:35:14
15
wilfredmatthew
King Kunta :
kwahiyo kwa ufupi "what happens in Vegas"
2026-10-07 05:45:29
8
itsslim96
🦋It’s 🍀slim🦋 :
Kwaio jela kudukuana nnje nnje alooh simpeleki mwanangu tena kupata adabu [Tears of joy]
2026-10-07 04:59:13
13
hudysultan758
Kenny traveller 👑🔥 :
teyali 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-07 04:49:41
5
pr.jy72
💎LÃMÃR💎 :
ila Harmonize
2026-10-07 07:28:10
3
boy127708
Boy alone🌹😎 :
Hali ni mbayaaa
2026-10-06 22:06:04
7
user9138150061284
tawa@123 :
I’m not gay, and as a married man, I can’t do that kind of thing.
2026-10-07 13:26:40
1
cheka128
Mamaa♥️🦋 :
Huyu hajatoaaa???😹😹😹
2026-10-09 16:53:50
0
user8281690873766
user8281690873766GRACE :
baba wangu aliwekwa selo bahati mbaya akaingia selo mtoto wa kitaa cha kwetu sasa yule kijana alikula chakula cha jamaa usiku jamaa akadai chakula chake 🤣😂😂 kaka wa kitaa yohana akashanga jamaa akasema usishangae nilipe chakula changu yohana akamwambia baba wangu akasema mzee nisaidie baba akauliza nini mwanangu akasema huyu anasema nimlipe chakula chake baba alipewa cheo humo selo jamaa alipewa mabanzi kama mane hivi akamwambia ww kijana iwe mwazo na mwisho mshezi ww 😅😅😅 siku baba anatoka na yule kaka yohana akatoka yohana ndio akawa asema niliombwa tako kisa nilikuwa chakula cha jamaa mzee fulani alinisaidia 😆😅😅😅
2026-10-07 10:30:55
6
mubahrak1
Mubahrak 🤓 :
iringa Moja iyo
2026-10-08 08:53:39
0
user9818332876726
user9818332876726 :
comedy
2026-10-06 22:16:10
2
khancrozqcy
MASIKINI PART ONE :
😁😁noma sana
2026-10-07 05:42:57
3
rajabadamchampion
RAJAB champion TZ🇹🇿 :
daah😁
2026-10-06 20:39:44
2
lordrick_1
🦋Mijongeo🌸ya🍃Ai :
15:15
2026-10-07 07:27:35
0
preety0411
preety :
apo sio iringa ttcl
2026-10-07 16:42:09
0
sezaaztf57c
thug life :
tunataka mwendelezo
2026-10-08 05:29:57
0
user9484341729886
user9484341729886 :
sawa mgaya
2026-10-11 15:51:58
0
user3128461606122
Kafulila :
true bro
2026-10-07 17:34:15
0
jeanjuvantnishimw
Jean juvant Nishimwe :
hali nimbaya 😂😂
2026-10-11 16:32:23
0
nutty_natallah
Da Baby :
mngekaa jaman
2026-10-11 10:35:47
0
juliusb222
JuliusB :
duuuuh!
2026-10-10 11:21:37
0
To see more videos from user @mrshadracktz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About