@elocien_tz: #efootballmobile #efootball2027 #tanzania🇹🇿 #tanzaniantiktok🇹🇿 #tanzaniatiktok

elocien tz
elocien tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 06 October 2026 18:42:58 GMT
207306
8837
85
175

Music

Download

Comments

user177971992188167
danijo :
Kaka me natak unifundishe jinsi ya kipa kutokea
2026-11-02 06:33:16
3
efootbalforlife2026
PUBG 🇹🇿 :
huo mda wa ku relax mchezaj unakuw haup opponent weng wanakabia pressure huwah kufny chochot ashafik na network yetu ya bong hii unakufa nying
2026-10-09 19:14:34
7
kojun.miltyy
kojun mil-tyy💪 :
Kenya tunaona na tupo maproo tayar tutawafunga Tena
2026-10-07 09:30:37
1
senegali60
SE,,NE,,GA,,L,💥BO🇸🇳Y🇸🇳💥 :
mzeee jins ya kutani vzul
2026-10-08 18:53:32
0
user6388378080024
erick kimath :
nifundishe kutani kaka
2026-10-06 19:13:59
4
shawkhan810
Shaw Khan :
brother me naomb unifundishe kuKaba
2026-10-11 04:29:42
1
official_moudy31
official_moudy31 :
kuna sisi joystick tumeweka off
2026-10-07 11:03:26
5
dasree00
dasree :
ety unampa mdaa wa kutoa pass wee unamjua Patrick Vieira ,Claudie makelelee wewe hao majamaa watakusubiri upate mda wa kutoa pass wapi
2026-10-07 13:35:53
1
divah945
🔯🏴‍☠️V🏴‍☠️🔯 :
c ata unitag mjomba
2026-10-06 19:14:50
2
muth_officiel
muth_officiel :
Oya kaka elekeza jinsi ya wachezaji wako kuto kukaa nyuma ya wachezaji wa mpinzani
2026-10-07 16:59:09
3
mr_kd.lee70
KD LEE 愛爸爸🫡 :
HII YA PASS UPO SAHIHI
2026-10-07 07:12:06
1
aggtrixys
Trixy,s officiall :
mm nataka unifundishe kukaba
2026-11-25 00:01:47
0
telosee
Telosee :
wanangu msihangaike kama hujui hujui tu 😅
2026-10-09 18:05:56
1
manuel__dm
mänüël🧑‍🦲 :
shida unachokiwaza na opponent ndo anachowaza koo unakuta mambo ni yalayale mwanangu
2026-10-07 13:33:08
1
jumaa_ramadhan
JR SOUND SOLUTION :
shida nikwamba kuna mda kunakua hakuna mda wa kumpa mda wa kupiga pasi maana kuna aina ya opponents wanafanya high pressing
2026-10-23 07:21:22
1
shaksi.hamc
shaksi hamc :
Tupe class kaka passing zinadakwa sana
2026-10-06 19:17:35
1
ramadhanishaibuki
PutRsm :
agh
2026-11-09 12:52:41
0
mathewkulwa235
Matheus :
🤣🤣🤣live
2026-10-06 19:11:32
0
patrickndali717
Patrickndali :
kikos nanunuajee
2026-11-08 11:33:50
0
peterwizz45
Pierre👑 :
Sahihi brother
2026-10-12 18:55:58
0
user52605476696023
Dito young :
kuna kitu kina nizingua wachezaji wangu Wana cheza automatic nakua sielewi nitag ukipost
2026-11-24 08:13:40
0
shangaemalenda
josh :
daah me nikipiga through pass zinaenda upande nisioutaka
2026-11-26 17:23:20
0
call.mi.lizmil
call.mi.lizmil :
2026-11-06 19:51:01
0
sadickhussein6253
HoneyBadger :
2026-10-14 14:01:52
0
pharmaalliance
MAFUNDISHO YA UTAJIRI :
aiseee mm naomba unifundishe namna ya kucontrol striker zanguu ,maana kila nikimpigia pass kuna zile turn nashindwa kuzifanya matokeo yake wananipora mpira ..Hadi naanza kuchukia mastriker wangu
2026-10-06 19:57:41
0
To see more videos from user @elocien_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About