Tangu nimeanza kazi huu nimwezi wa6 lakini sina hata mia kilanikipata nasaidia wazazi nitatoboa kweli😳
2026-10-07 08:39:08
8
Chris Jiyumba :
fact speech themselves
2026-10-07 10:08:43
0
Christopher Saitoti :
ubarikiw waz nzuriiii
2026-10-07 09:06:50
1
spero195 :
DADA ASANTE KWA USHAURI MZURI ILA MSHAHARA M SINA NIPO TU SIJUI NAANZIA WAPI
2026-10-07 05:14:13
4
naike Ben ♏🖤 :
Thanks you maaa🥰🥰🥰
2026-10-06 19:18:28
0
malieta mashimba :
Una akili dear Sophy [Red heart]
2026-10-07 02:18:19
0
Amos Nyamaka :
ndugu uongo ila wzaz sawa
2026-10-07 09:27:45
1
pretty🦋🦋❤. :
Thank ur mom🥹🙏❤
2026-10-06 23:37:24
0
Sweetie_bottom🤭 :
Madam unajua umeni motivate ❤️❤️❤️🙏🏾
2026-10-06 22:20:30
0
maino :
Ushachelewa mtu wangu
2026-10-07 08:58:20
1
SANDRAH💕 :
UNGENISHAURI JUZI 🙌
2026-10-07 10:15:15
0
sendomagic :
Hivi ndivo vilivyonifanya nifike hapa nilipofika 🙏
2026-10-07 07:18:26
1
flr :
Dada unaonekana una roho nzuri jaman yan ata unavyoongea..hongera kwakutoa elimu adimu ya kimaisha maana wengi yametukuta..nataman wanaonza waanze vizur wasije wakajisahau wao wasitoe hadi wakabaki watupu
2026-10-07 10:23:07
0
daviddeusi15 :
true 😳
2026-10-07 10:18:22
0
tanzania_rugs_collection :
Thanks Akiba sio kiasi akiba ni tabia 🥰
2026-10-07 05:00:29
1
momo beaut :
Dada cjalipwa leo tare 7
2026-10-07 09:56:29
0
Pius malongo :
fact sana dada angu mungu akubariki
2026-10-07 10:03:26
0
tc mum🌹 :
Me sijapata
2026-10-07 09:15:15
0
elizabethjoel255 :
amina dada
2026-10-07 07:06:28
0
Queen Linah :
asantee
2026-10-07 08:36:08
0
queen shadya :
nimepokea Hela juzi lakini mpaka leo Sina hata mia matatizo hayaishi
2026-10-07 10:35:29
0
Sabrina🥰 :
asnte mahi
2026-10-07 10:27:37
0
ᗩᗷOᑌ ᔕᗰᗩᖇT :
me akiba😂 yote nime baluza kweny pango la nyumba sin ata mia saiv😂