@fifisugar:

Fiona Nkya
Fiona Nkya
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 06 October 2026 19:07:19 GMT
33907
2198
80
81

Music

Download

Comments

martine.mwampamba
Martine Mwampamba :
big up dada
2026-10-07 04:37:43
0
kingsolomonjr4
KingsMan :
dear future wife tukutane mwakani huu mwaka vitisho vimekua vingi🙌
2026-10-06 19:48:10
34
danielcolinia
Daniel Colin :
good point
2026-10-07 05:41:34
0
nicaragua_150
Nicaragua🫶 :
Tujifunze kutokudharau wanaume. zetu ushauri wa mashost nna ndugu apana aisee
2026-10-06 20:43:10
12
estherlol00
Esther♥️ :
Sometimes akiangalia hao watoto ndo anazidisha hasira what if in several comflict, aliambiwa na hao watoto sio wake 😎 ila kulinda heshima akaa nalo moyoni, Ongea na wanawake kuhusu hii tabia ya kuwaambia wanaume watoto sio wao 📌 hii imeharibu focus ya wanaume wengi mnoooooo
2026-10-06 19:28:00
20
godbless8738
Godbless :
Imefika wakati ni bora tuwe na ndoa za mkataba.
2026-10-07 04:52:21
8
mimy_john
mimy_john :
Sorry to ask umeolewa dada mshauri😊
2026-10-06 22:40:21
1
user9810050373247
user9810050373247 :
Sema na wanawake wenzio achana na wanaume. Mnajisahau sana.
2026-10-07 04:42:56
2
user8037770712376
@naishookipaul :
exactly 💯
2026-10-07 09:32:34
0
festo.ngungulu
Festo Ngungulu :
aah mtakwisha walahi tamaa zenu
2026-10-07 04:25:39
1
ms.gabriel.4
mama Dee :
bitter truth sis ..but elimu ya afya ya akili ni muhimu zaidi...he might be the narcist that's why he didn't think twice... anyway hatujui walipitia nini
2026-10-06 19:14:26
2
user802047817
katuna :
huo mda wa kuangalia picha now atuna sisi😎😎
2026-10-06 21:00:21
3
neemayona7
Boss lolo7🥰 :
Stak kuongea ila shetani ana nguvu sana jmn🥺🥺🥺
2026-10-06 19:16:22
14
richngowi
RICHARD NGOWI :
Ushauri mzuri mwanangu
2026-10-07 06:36:55
1
angelisa64
angelisa :
dada Fiona nakupenda sana🥰
2026-10-06 19:19:28
15
vestinathiem
vestinathiem :
fact sana dada be blessed 🥰
2026-10-06 19:32:34
3
levinajonas
cool@smile :
talk to them
2026-10-06 19:47:40
0
langei
L :
Kwa sasa wanaume wameamua kutokuwa watumwa wa wanawake na watoto
2026-10-07 04:40:12
1
berniceatieno0
Bernice🌹 :
ukiona ishara za hatari chukua hatua‼️
2026-10-07 06:31:40
1
richngowi
RICHARD NGOWI :
Advice for. men: Don't make decision when you're too angry or too happy
2026-10-07 06:42:33
1
gee..white
~Grace🫧💋 :
Wakwanza nakupnda sister[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-06 19:12:50
3
robertmzizima3
Robert Mzizima :
acheni tamaa
2026-10-07 03:29:43
1
miss.ellah009
Being purity✅🦋🤗❤️ :
Am the first today 🙏🙏
2026-10-06 19:12:18
2
changeisme3
CHANGEISME :
naweza kukusikiliza? point sana.
2026-10-06 20:54:26
1
shushine590
shushine :
really
2026-10-06 19:22:12
1
To see more videos from user @fifisugar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About