maneno ya wanazuoni na AYA za Mungu ni zipi tushike?
2026-10-07 14:52:22
2
neyhay :
m.a sheikh anaitwa nani
2026-10-07 08:51:06
0
saleh ali :
Masha Allah Kwa kutufafanulie
2026-10-09 09:04:05
1
Diga Lise :
twaeza acha maneno ya mwenyezimungu tushike yawana zuoni
2026-10-07 16:45:01
0
user1378248391258 :
sasa tushika aliosemwa na mungu amatushike aliosemwa na wanazuoni
2026-10-09 04:35:01
0
ALBAYAAN :
hatuwezi kuifadhilisha ijtihaad mbele ya Aya, wanazouni nao ni wanaadamu
2026-10-10 02:27:47
2
john-q :
sisi tunaishia pale pale kwa Allah aliposema Laylatul Qadri khairun min alfi shahar, hayo mengine jitihada tu.
2026-10-12 12:39:19
0
real semite :
الله يحفظك يا شيخنا
2026-10-07 15:09:53
0
BAM BAM :
mashalla mashalla
2026-10-08 22:06:48
1
Abdullah Maamun :
MashallAh
2026-10-08 03:23:16
0
Gozito :
Hiyo Quran ambayo wewe wasema waifwata inatuambiya tuwaulize wanachuoni:
{ وَمَاۤ أَرۡسَلۡنَا مِن قَبۡلِكَإِلّا رِجَالࣰا نّوحِیۤ إِلَیۡهِمۡۖ فَسۡـَٔلُوۤا۟ أَهۡلَٱلذِّكۡرِ إِن كُنتُمۡ لَا تَعۡلَمُونَ}
[Surah An-Naḥl: 43]
2026-10-08 20:49:54
0
Hassan Ahmed galib :
mbona hukusemsa amepata dalili kwa nani shekhe ibniy tarmiya Qruni ndio Kila kitu kwetu na sunna ya mtume
2026-10-12 09:59:23
0
أبو بنات :
Kuzaliwa au usiku wa lailatul kadr utasidia nini ummah? Himizeni watu waswali kuacha madhambi kufanya yasawa,,,,
2026-10-07 17:40:53
0
Mjukuu wa babu :
Hakuna muqaarana baina ya laylatul israa na laytul qadri
2026-10-07 13:23:54
0
user16517147284570 :
hayo maneno ya mungu bila kupitia maneno ya wanazuoni huezi yaelewa
2026-10-09 12:41:57
0
mabatheif :
Mtume ametuamrisha tufanye nini usiku aliozaliwa katika ibadah ndio tujua ni usiku bora.Kuna miezi bora,masiku bora na usiku bora yote hayo ni nafasi nzuri ya kuzidisha ibadah,sasa wapi imesema usiku wa kuzaliwa mtume tufanye nini.
2026-10-11 15:25:22
0
Dr. Mtauni Mansour. :
Kitu Bora Kwa Mtume ni Bora Kwa Wote Sio Bora Kwa Nani Nini upi Ulio Bora apa DUNIANI .
Sio Bora kwa Nani ?!!!
2026-10-07 17:53:01
0
Abdallah mwinyi :
mbona mtume mwenyewe haja sema hayo
2026-10-12 18:07:58
1
Habibmayike :
ibnu teymiyah si imamu ni mujasimah hatutaki maneno yake
2026-10-07 12:29:35
0
Abuu Imran :
naona katika hili mahawabi mnamkataa Ibn Taymiyah😂
2026-10-11 18:10:38
0
Abdallah mwinyi :
😂😂😂😂🤣 ata kama hatukusoma ila hatuwezi k
2026-10-12 18:04:52
0
Abdallah mwinyi :
ibini uteimiya alisema wapi maneno hyo kisha yeye na mungu nani mkweli
2026-10-12 18:06:42
0
ابـــــو عبـــــد المــــالك :
A khurafi is always guilty untill proven innocent...
2026-10-10 14:20:11
0
🌻abbh🥰 :
uwongo
2026-10-14 09:27:25
0
To see more videos from user @mokhalifa56, please go to the Tikwm
homepage.