@drreginauisso: Kuvimba miguu shida inaweza isiwe miguu yenyewe ,inaweza kuwa ishara ya kwamba kuna ogani ndani ya mwili wako hazifanyi kazi vizuri . Fahamu hizo dalili njoo hospitali. #kidneyfailure #liverfailure #heartfailure #tanzania #doctor

Dr.Regina Uisso
Dr.Regina Uisso
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 06 October 2026 19:20:38 GMT
101169
2233
113
262

Music

Download

Comments

khan.salk.47
Mr.salk 47.tz :
liver cirrhosis 😅😂 point yang kila paper lazma niandike
2026-10-06 20:37:18
2
lazzo.tv2
LAZZO TV :
asante kwa eliminate safi
2026-10-07 03:38:39
1
raedher3
Raedher🎧 :
What about pregnancy?
2026-10-06 20:53:35
1
florencemaingu6
Mama Maingu :
Shsante doctor.
2026-10-07 15:29:01
1
tembacosmetcs
Festo temba :
hospital yenu ipowap
2026-10-07 09:30:28
0
denismatowo5
DENIS :
Well said
2026-10-07 07:11:38
1
damiansabasi
Damiani Sabasi Lashayo :
doctor somo zuri sanaa
2026-10-07 18:00:42
2
user18721211466242
𝑹𝒂𝒚𝒓𝒂❤️𝒈𝒊𝒓𝒍𝒔🇹🇿 :
matibabu yake ni nn please nahitaji kumjua nimsaidie babaang
2026-10-07 05:54:54
4
george.mushi13
George Mushi :
miguu huwa inauma kwenye visigono na kuvimba ..niliambiwa nilile nyama lakini Bado inanisumbua
2026-10-07 14:06:02
3
upekeecakes
Upekee Cakes :
Na vipi wale wanaosafiri umbali mrefu wanavimba migui? Shida ni nini
2026-10-07 13:09:49
1
nassor.senkude
Nassor Senkude :
mimi navimba mguu mmoja tatizo nini
2026-10-07 08:33:25
1
ndiomzee
Laur Tajiri :
vimefeli au vimeanza dalili za kufeli? moyo ukifeli itakuwaje hai👍
2026-10-07 00:52:13
1
jenifamwilwa
jenifa :
je kama ni mjamzito na unahali iyo mbona hospital hawatuangalii hayo matatizo Bali wanasema ni kawaida ya mjamzito hii imekaaje
2026-10-07 06:13:43
1
geejam05
Gee-jam :
hivi mtu mwenye hypertension haexperience hii kitu?
2026-10-07 10:59:38
2
drkolin1
drkolin1 :
Hongera sana, unaelezea kwa Lugha rahisi sana.
2026-10-07 05:37:50
1
godbethasylivery
Baby :
napenda vile unavyoelezea. Mungu akutunze madam
2026-10-07 15:10:12
1
peterboateng90
peter boateng :
ni tofauti na uvimbaji wa enka
2026-10-07 05:47:47
1
mtalingomela
mtalingomela :
vizuri sana kwa kueleza vzr pathophysiology
2026-10-07 04:36:06
1
_salmamkami
_salmamkami :
Nafanya mazoezi ya kuruka kamba mostly lkn napata changamoto ya kuvimba Ankles, hii inasababishwa na nini? Na je ni sahihi kuendelea?
2026-10-07 13:35:57
0
user634409137943
Elisha Anthony 🇹🇿🇹🇿🌹 :
shangazi ang alifariki akiwa amaivimba hivo
2026-10-07 04:51:17
0
victoria.mamen
Victoria mamen :
Mama mkwe wangu ana sukari na pressure na hiyo hali inamtokea ila havimbi miguu ukibinya inaacha hayo mashimo kwani nae ni nini kinafanya awe hivyo
2026-10-07 05:06:44
1
pinah537
pinah🦋 :
I wish ningejua mapema b4 kumpoteza 😭
2026-10-07 10:26:35
1
nelsonlindi
Dct Nelson :
Uko sahihi sana chief
2026-10-07 06:38:48
2
holiviahealth
holiviahealth :
Doctor naongezea hapo, Alert ya ugonjwa ni dalili wengi tuna puuza dalili ndogo ndogo tukihisi ni kawaida, kumbuka ugonjwa haugongi hodi bali alert ya ugonjwa ni dalili
2026-10-07 12:44:49
3
catherinejohn896
mama p :
nikiwahi vimba hvyo nikivyokuwa mjamzito Miezi 9 presha ilikuwa juu sana wakanifanyia op chap alhamdulirah baada ya kujifungua nikaaa sawa
2026-10-07 13:01:39
1
To see more videos from user @drreginauisso, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About